Uchaguzi Chadema

Uchaguzi Chadema

Viongozi waliopo madarakani wanawatoa mapovu ndio maana uchaguzi wa cdm umekuwa wimbo wenu kila ck.
wenye chama wametulia tuli makapi yanaweweseka.mnawatoe cdm kwenye hoja za wananchi ili mpumue maana mmebanwa mbavu.

uchaguzi cdm ulishaanza kwenye uzinduzi wa kanda pengine hamjui mpaka mtafuniwe ili mmeze bila jasho.
Mnalazimisha uchaguzi wenu ilimpandikize vibaraka wenu maana waliokuwepo wote wamefwekwa hivyo habari za ndani hazivuji.

Pilipili usiokula inakuwasha nn?
 
Back
Top Bottom