East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,211
Mjumbe mmoja wa bunge la katiba wa CHADEMA kasema kuwa wao wamegoma kuingia bunge la katiba ili kuweka nguvu uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA ili ccm wasije ingiza mamluki wao.Hivyo viongozi wote wa Chadema WAMETAKIWA KUACHANA NA SHUGHULI ZA BUNGE WAJIKITE KWENYE KUSIMAMIA BARABARA HIZO CHAGUZI KUHAKIKISHA MKONO WA CCM HAUPENYI.aKASEMA HIVYO VYAMA VINGINE KAMA CUF/NCCR ni fuata mkumbo tu.Wao wana kazi ya kufanya kipindi hiki cha mgomo wakati hao wengine hawana walijualo zaidi ya kusema naunga mkono hoja ya CHADEMA ILIYOJIFICHA NYUMA YA UKAWA