Uruguay
Member
- Jul 19, 2014
- 28
- 10
NILIWEKA THREAD MBILI((kitila,mwigulu wavamia uchaguzi chadema,,pia uzi usemao m/kiti wa mkoa singida avuruga uchaguzi iramba)) HAPA JAMVINI ZIKILENGA KUTOA TAARIFA JUU YA UHUNI UNAOANDALIWA NA KITILA PIA MWIGULU JUU YA UCHAGUZI WA CDM IRAMBA SASA MATOKEO NDIO HAYA
>Mshindi wa nafasi ya uenyekiti ndg Ally Gessy agawa rushwa hadharani,akodi noah 3 na basi moja na kuleta wajumbe wa kata zote
>ukaguzi wa kadi haujafanyika,wanachama wa kawaida wageuka wapiga kura
>viongozi wa ccm wagombea na kushinda kwa kishindo
>wagombea wajaza fomu za ugombea ndani ya uchaguzi
>Ubabe,hasira,kiburi na ukosefu wa busara wa m/kiti wa mkoa shaban lyimo nusuru uvunje uchaguzi
>Husen mwarabu alieishi nyumban kwa mwigulu(dar) mwaka mzima bure nae apeta uongozi wa jimbo
AIBU INAYOFUATIA NI HII;
>M/kiti wilaya atahamia ccm ili kukamirisha makubaliano yao kule dodoma akiwa na mwigulu
>ACT kuzoa viongnzi wa cdm iramba kwa wingi kutokana na makubaliano yao na kiti
NATAMBUA MWIGULU NA KITILA WAMEFURI SANA MATOKEO HAYA