Uchaguzi: Bububu - Zanzibar hali si shwari

Uchaguzi: Bububu - Zanzibar hali si shwari

Tanzania inapita ktk wakati mgumu kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakuna hata jambo moja ktk mambo muhimu ambalo kwa sasa linafanyika vizuri/sawasawa.

Naomba kukanushwa.

Ombi lako limekataliwa!
 
Hata watu wote wafe, lazima tushinde. Huu ni msemo wa mafilauni wa ccm. Wao ushindi ni muhimu kuliko maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom