Uchaguzi: Bububu - Zanzibar hali si shwari

Uchaguzi: Bububu - Zanzibar hali si shwari

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Wakuu salaam,
nimempigia ndungu yangu simu zanzibar yupo betilasi anasema amejifungia ndani na huko nje ni mabomu yanarindima tu,naombeni mtujuze mlioko huko
 
Afadhari ni wao kwa wao ingekuwa CDM hapo,wenye midomo mirefu ka mamba wa ukerewe,wangebwabwaja mpaka basi.
 
Ivi mambo ya ndani kwa bajeti yao waliongeza stock ya mabom ya machozi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tafadhali tusiingilie huu ugomvi.
 
Wakitoka kupigwa mabomu utasikia wanaenda kuchoma kanisa!
 
Back
Top Bottom