Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!! yaani uchaguzi ambao kwasasa kila mtanzania anajua hautakuwa wa huru na haki.
Wagombea wanazuiwa au kufungwa!!! halafu Tume ya CCM inagawa magari kwa wagombea Uraisi bure ! kama hongo pesa za walipa kodi wakati nchi yetu ni masikini kiasi hiki.
Imefika wakati tunatawaliwa na udikteta ambao hata haueleweki. Wenzetu nchi za udikteta hawapotezi muda kwenye maonyesho ya ajabu ajabu hivi.
Tupiganie uhuru na kuondokana na haya yote.