Kama ilivyo ada sisi watazam fursa huwa tunaangalia ni namna gani tunaweza kutoa huduma tofauti kwa watu tofauti.
Masoko Consultants Tunakuletea huduma adhimu na ya kipekee kabisa wewe Mgombea wa nafasi ya Ubunge na Udiwani.Ni huduma ya Strategic Campaign Managament and Analytics:
Huduma hii inahusisha yafuatayo:
Uaandaaji wa Campaign Plan Blue Print kwa kuzingatia Eneo lako la ugombea
Uaandaaji wa Campaign Communications materials ikiwamo kitabu cha sera,mabango na vipeperushi
Uaandaaji wa Speech
Uaandaaji wa bajeti ya Campaign
Uandaaji wa Questionaire
Kufanya utafiti wa Mshindani wake
Recruitment ya Volunteers
Online Targeted Advertising Advertising
Election Day Eve Evaluation
Post Election Evaluation
Huduma hizi zinapatikana Tanzania nzima,kwa wagombea wa vyama vyote kwa gharama ya kuanzia TZS 20000-Ubunge na 10,000 Udiwani kwa huduma (Excluding Overheads) kwa kipindi chote cha Uchaguzi
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com au unaweza kujaza fomu hii
Nendeni mbali zaidi. Fanyeni ni opinion polls za kitaalam na exit polls ili wagombea wajue kukubalika kwao kabla ya uchaguzi na uwezekano wao wa kushinda baada ya uchaguzi (exit poll).
Nendeni mbali zaidi. Fanyeni ni opinion polls za kitaalam na exit polls ili wagombea wajue kukubalika kwao kabla ya uchaguzi na uwezekano wao wa kushinda baada ya uchaguzi (exit poll).
Mkuu wazo zuri tutaangalia namna ya kuliweka ingawa lengo letu ni kumsaidi mgombea aweze kufikia wapiga kura wengi na kuendesha effective Campaign kwa kutumia Taarifa sahihi na teknolojia