Uchaguzi 2020 : CCM kumpiga chini Magufuli

Ukisema kuwa CCM haitompitisha Magufuli kugombea tena kiti cha urais 2020 ni sawa na kumaanisha kuwa Magufuli hatojipitisha kuwania urais 2020. #KOBARAone umeshindwa kuelewa kuwa sasa hakuna CCM kuna Magufuli kwanza!

Magufuli amekwisha kiteka Nyara chama hicho nakukifanya Mali yake na anakiendesha vile atakavyo, KIBARA umeshindwa kufikiri, umeshindwa kujua kuwa CCM ilikwisha sasa kuna mtu si chama. Magufuli atajipitisha na atagombea urais 2020 na atajipa ushindi yeye ndiye chama na yeye ndiye serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom