Uchaguzi 2020 : CCM kumpiga chini Magufuli

Uchaguzi 2020 : CCM kumpiga chini Magufuli

UKAWA ndio waliotangaza hadharani kuwa ufisadi sio agenda yao tena. Hii ni baada ya kumpokea kiongozi wa mtandao wa ufisadi nchini.

Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.
 
Wacha ukumanyoko na wewe! Utabiri gani wa kipumbav huu? Mbona watu wengine mnapendaga kuchokoza wenzenu hivyo? Wampige chini kwa lipi? Hujui rais akishachukua ni mpaka miaka 10 iishe? Wacha upuuzi wako bwana, ina maana huko UKAWA hatuna watu mpaka tukae tunadandia makapi kila mwaka?

Nionyeshe ni wapi pameandikwa kuwa lazima Rais agombee miaka kumi?

Unaishi kwa kukariri.

Poa tu kwa kunitukana na nimekusamehe ila kama Admin akitenda haki Basi hata BAN inakutosha.
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.

Lowassa vipi tena hatakiwi?
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.
CCM wana utaratibu waliojiwekea wao usio rasmi ambao yeyote anayeshika uraisi huachiwa miaka yote 10,sasa hiyo 2020 hakuna mtu atakayesimama wote wataufyata hadi 2025,waulize akina Mwandosya,Sumaye,Lowasa na wegineo kuwa mbona hawakuchukua fomu 2000?.Na kwa sasa Magufuli ndio habari ya mjini hata sasa akisema anaondoka CCM na kuanzisha chama chake ,yeye ndie atashinda,hiyo haina ubishi,kwa hiyo hizo ndoto za Alinacha zinaishie Ikwiriri na Chalinze baasi
 
Wewe hunijuhi ccm ya leo.

Kwanza hilo ulisemalo hakuna mahala pameandikwa so usishangae 2020 wakakwambia wanamsindanisha so uwanja wa kuchukua form upo open
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.

Kweli sasa Mnawashwa! hakuna mtu mwenye akili timamu akashabikia UKIWA.... yaani hili ni kama genge la wawakili wa SHETANI...hebu angalia quality ya viongozi wake na wanachama pia....AIBU!!!!
 
Mnamtukana huyu jamaa ila hoja yake ni ya msingi sana tena sana.
Ni wakati wa magufuli kuwa makink sana na kuanzisha tume huru ya uchaguzi. La sivyo
 
Mnamtukana huyu jamaa ila hoja yake ni ya msingi sana tena sana.
Ni wakati wa magufuli kuwa makink sana na kuanzisha tume huru ya uchaguzi. La sivyo

Watanzania walio wengi hawajuagi kuona mbali.

Ukweli ndio huo kama Magufuli akiendelea hivi alivyoanza na akifanya hivi hadi 2020 labda Mkapa awepo otherwise atapata upinzani mkubwa ndani ya chama na kura zikipigwa awezi pita.

Na kwa fununu tu ni kwamba ccm wanajiandaa kubadili katiba ili Rais asiwe Mwenyekiti wa Chama.
 
Wabunge wa ccm wakiipiga pini hiyo katiba?

Wale wabunge wa viti maalum na wengine hawako 'smart' kivile!
Itapita tu, wakiipiga pini nao wajue ubunge tutawapiga chini, simple and clear! Uchaguzi mkuu hata urais maana yake watausikia tbc tu, hawatashinda!
Ukawa wapvmbavu sana, yaani mnaanza kujenga hoja za kijinga ili mradi mpate tu cha kuongea!
 
Wakimtoa ndo vizuri tutamchukua act je zitto atakubali maanake watu wanapenda urais balaaa
 
Mpaka ifike hiyo 2020 hakuna kichafu kitakachobaki CCM, mtaan na maofisi yote ya serikal... We subir uone
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.

Acha unafiki kumbe Chadema mnasubilia maproo wa ccm

Yaani ukawa imefikia hatua ya kuishiwa nyimbo kiasi hiki!!
 
CCM hawana ubavu huo! maana kabla ya 2020 mafisadi wengi waliofichama huko watakuwa tayari wako lup*ngo wakiny*a debe!
 
Kama hujui mambo ya ccm uliza ama kaakimya. Chama hiki kinaongozwa kwa katiba, kanuni,na taratibu tulizojiwekea.miaka 10.kwa Magufuli ni kama uji na mgonjwa.ondoeni mawazo ya fisi kwa njaa yake kudhani kuwa mwendo wa mwanadamu kutembea akitupa mikono mbele nyuma. Akidhani kuwa mikono hiyo ingechomoka na fisi kujipatia kitoweo..... Mtasubiri sana. Ccm mbele kwa mbele mpaka 2025.kinaibua kada mwingine.
 
Ndoto zingine bhana! Asubuuuuhiii mtu anaanza kuota!
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.

na hapo bado kuna kashfa kubwa tatu zinakuja zitautikisa utawala wa mwalimu Maghufuli,

hakika nchi itaikisika vilivyo, itafika wakati hata wale wahafidhina ndani ya kile chama fisadi watakubali tu yaishe,

nchi itasimama kutakuwa na minyukano mingi si bungeni wala serikalini

kutakuwa hakuna jinsi ila tu kuikubali rasimu ya pili ya katiba ya warioba ili nchi itulie kidogo.

hata hivyo minyukano bado itaendelea tu. amini amini nawaambia hii ni miaka kumi ya taabu, mwenye masikio na asikie
 
Back
Top Bottom