Uchaguzi 2010:tumejifunza nini?

Mpelijr

Member
Joined
May 17, 2010
Messages
89
Points
95

Mpelijr

Member
Joined May 17, 2010
89 95
Jana kuna rafiki yangu aliniuliza swali dogo nikatumia muda mrefu kulijibu huku nikitoa maelezo meeengi ..naomba tu share majibu yetu jamani.....swali ni hivi uchaguzi wa 2010 tumejifunza kitu gani kipya ambacho ni positive kwenye development?
 

kisu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
860
Points
250

kisu

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
860 250
Watanzania bara sasa wana anza kuamka toka usingizini. Visiwani wali inuka lakini wakapewa nusu kaputi wakarudi usingizini hadi 2020!!!
 

Forum statistics

Threads 1,388,891
Members 527,825
Posts 34,013,485
Top