William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Asante Mkuu, William, salamu zako tumezipokea. Nimefarijika sana kwa wewe kuwa ni miongoni mwa mliolitambua hili la "viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!" ambayo naamini ndio kwanza wameanza kutuma salamu, na vile JK ambaye ni kweli bado wana imani naye na ni matumaini yao, kikosi kazi kijacho, hakitakuwa na idadi kubwa ya magoi goi kama kilichotangulia, vinginevyo, 2015, watakamilisha hii kazi waliyoianza.Waslaaam wananchi wote JF,
- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.
- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!
Ahsanteni.
William.
Asante Mkuu, William, salamu zako tumezipokea. Nimefarijika sana kwa wewe kuwa ni miongoni mwa mliolitambua hili la "viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!" ambayo naamini ndio kwanza wameanza kutuma salamu, na vile JK ambaye ni kweli bado wana imani naye na ni matumaini yao, kikosi kazi kijacho, hakitakuwa na idadi kubwa ya magoi goi kama kilichotangulia, vinginevyo, 2015, watakamilisha hii kazi waliyoianza.
Always Kiongozi wa GOI GOI ni GOI GOI+, Judgment day yao iko njiani yaja.Asante Mkuu, William, salamu zako tumezipokea. Nimefarijika sana kwa wewe kuwa ni miongoni mwa mliolitambua hili la "viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!" ambayo naamini ndio kwanza wameanza kutuma salamu, na vile JK ambaye ni kweli bado wana imani naye na ni matumaini yao, kikosi kazi kijacho, hakitakuwa na idadi kubwa ya magoi goi kama kilichotangulia, vinginevyo, 2015, watakamilisha hii kazi waliyoianza.
Waslaaam wananchi wote JF,
- Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo:
- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.
- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!
Ahsanteni.
William.
Waslaaam wananchi wote JF,
- Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo:
- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.
- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!
Ahsanteni.
William.
hapo kwenye nyekundu sijuhi ulifanya analysis gani, ukweli uklio wazi JK hakubaliki kabisa hata na watu wa vijijini ambao mara nyingi tunawaona wao huwa wanaifata CCM, ukiniambia watu bado wanaipenda CCM naeza kukukubalia lakini sio viongozi waliopo sasa
Habari yako William. I doubt kama ulikuwa na muda wa kutosha wa kutafakari kabla hujaandaka ulichoandika. To be honest huwa naziheshimu sana posts zako ndani ya jeief. Post yako ya leo inanifanya nijiulize kama nimekuwa nikifanya kitu sahihi au la. By the way sizungumzii siasa, nazungumza kama mtanzania wa kawaida ninayeipenda nchi yangu. Kama umefuatilia kwa karibu matokeo utakubaliana na mimi kwamba si kweli kwamba watz wanaimani sana na jk, huenda ilikuwapo hiyo imani 2005 lakini kwa sasa haipo period. Invisible alitufikirisha matokeo ya majimbo mawili moja ni Bukoba na jingine silikumbuki. Bukoba inaonyesha kwamba nusu ya watu waliopiga kura za urais hawakupiga za ubunge. This is almost impossible. Mathematically speaking matokeo ya urais yamepikwa tena kwa bahati mbaya na mtu ambaye hayuko smart kwenye hiyo kazi.
Na unasema pia watu wanamtaka jk lakini hawawataki viongozi goi goi wa serikali yake. Huitaji Phd ya management kujuwa kwamba serikali goi goi inazalishwa na rais goi goi. Huwezi kuwa na rais strong ukawa na serikali goi goi never on earth., Rais ndiye anayeishape serikali, kwa maneno mengine kwa kuangalia tu serikali inavyotenda ndivyo n utendaji wa rais ulivyo.Ukiwa na wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, mawaziri, manaibu, makatibu wakuu na watendaje wengine ambao ni hopeless maana yake ni kwamba rais naye ni hopeless kwani hao wote ni wateule wake, hakuna sababu ya kumpaka mafuta mtu kwa mgongo wa chupa kwenye hili.
Waslaaam wananchi wote JF,
- Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo:
- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.
- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!
Ahsanteni.
William.
No umekosea sana kwenye tahminiyako, tumechoshwa na Kikwete mwenyewe, viongozi magoi goi wamezalishwa na Rasi goi goi, kilichotokea ni wizi tu wa kura lakini si mapenzi ya watanzania kwa kikwete, no way!
Uchaguzi umekwisha na naona watu wametoa dondoo zao, nimestuka kiasi cha kuogopa jioni hii pale wakuu wa tume ya uchaguzi walipokiri hadharani kwamba madai ya Dr. Slaa kuwa kura za Geita zilikosewa ni sahihi na kwa sasa wamefanya mabadiliko hivyo hakupata kura 300, badala yake ni kura zaidi ya 20 elfu. Kwa nchi makini na watawala makini wasio magoi goi hii ilikuwa alama tosha ya mwenyekiti huyu kujiuzuru na kuhakiki majumuisho ya kura za urais upya kwa afya ya taifa. Bila kujari utashi wa vyama vyetu jambo hili ni aibu kwa Taifa na hata kwa mshindi atakayetangazwa maana nahisi majimbo yote yamekosewa kama hawatafanya uhakiki. Hivyo mtu aliyetangazwa kuwa asiyekubalika kwa umaa kama ndugu yangu William anavyodhani na hivyo kazi yake kuwa ngumu mno kuliko anavyodhani. Watanzania wa jana sio wa leo nami naamini kabisa hakuna amani ya kweli bila haki kama wanafanya makusudi kwa mtindo wa hujuma basi ni wazi kuwa nchi yetu haina amani na kuna siku nguvu ya uma itaishangaza nguvu ya mabomu na risasi. Siku chache kabla ya uchaguzi mgombea wa urais wa ccm alikiri hadharani kuwa sababu za kuwanadi mafisadi majimboni ni kwamba hao ndo watu alionao!! ajabu na aibu!! alimaanisha wazi kuwa ccm haina watu safi wanaokubalika bila dhuruma machoni pa umma wa watanzania.
Naomba ndugu yangu William uongeze kwenye salamu zako kwa huyo mkuu ccm kuwa wananchi hawaridhishwi na chama kuendeshwa na nguvu ya pesa ya hujuma ya uchumi wa nchi na kama hili halitashugulikiwa basi 2015 hata Makame hataweza tena kuchakachua matokeo.
Nawasilisha
Inategemea kuwa nani anasema kuwa facts zipi ni genuine. Facts za nec zinanifanya niwe na wasiwasi nazo ukiangalia inconsistencies nyingi zilizojitokeza na kuzingatia conflicts of interests za wahusika wake. Time will tell kama uchaguzi huu ulikuwa sauti ya wananchi au la, na bahati nzuri muda huo unakuja kwa kasi sana. mark my words.- Great Thinkers, tunatakiwa kuongea na FACTS mkuu!
William.
Umepewa facts kwenye #11- Great Thinkers, tunatakiwa kuongea na FACTS mkuu!William.
nilisoma zamani hadhithi ya mtu mmoja aliyekua analamba miguu ya "bwana wake".... na sijui kwanini kila siku nakuona wewe kama mlamba miguu wa bwana ukitegema kupewa kitu... bahati mbaya huna chochote chenye ubora zaidi ya kuendesha watu maarufu wa bongoWaslaaam wananchi wote JF,
- Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo:
- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.
- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!
Ahsanteni.
William.
just FYI... dont think you can rate people as great thinkers or great suckers as you wish because i have seen you abusing this word now.... paki lori kakojoe ulale- Great Thinkers, tunatakiwa kuongea na FACTS mkuu!
William.
he is just a great stinkerUmepewa facts kwenye #11
Tafakari chukua hatua
- Kwa vile unaongelea kutoka kwenye angle ya kura za urais kupikwa, then mjadala wote unakuwa hauna maana, mimi ninaongelea FACTS zilizotolewa na NEC bila kujali anything maana huu ni uwanja wa Great Thinkers siwezi kusema kura za Rais zimepikwa bila kutoa FACTS.
- Kwenye hoja yako ya msingi ni kwamba Rais ni binadam mwenye mapungufu kama sisi wengine mara kwa mara anahitaji kukumbushwa mapungufu yake, ndio maana kila baada ya miaka mitano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri tunawapigia kura viongozi wetu wa taifa na local government, kwa mtizamo wangu wa matokeo ya huu uchaguzi ni kwamba mawaziri wengi wameshindwa, madiwani wa CCM wameshindwa sana, ndio niansema ujumbe hapa ni clear kwa Rais aliyechaguliwa kwa kura nyingi sana kwamba viongozi wake wa chini hawafai anahitaji kurekebisha hilo. Ni mtizamo wangu tu na wewe unaweza kuwa na wako unaotokana na kuamini kura zimepikwa, kitu ambacho mimi siamini hata kidogo.
William.