Hivi jamani tunaona mikoa na kanda za Tanzania bara nyingi kuna timu za mpira wa miguu kwa mfano kanda ya ziwa kuna kagera sugar, pamba, mbao nk huko mbeya tuna mbeya city kwa dar kuna yanga, simba lakini kwa kanda ya kasikazini(Arusha, Kilimanjaro, Manyara) huko kuna timu gani wajameni