Uchafu: Uwanja wa Ndege wa JNIA na Uongozi wa Eng. Prosper Tesha

[h=1]TAA Management Team[/h]
S/N
Name
Position
1
Eng. S.S. SuleimanActing Director General
2
Mr. L.K.M. MwiguneDirector Human Resources and Administrator
3
Eng. Thomas HauleActing Director Regional Airports
4
Mr. Mosses S. MalakiDirector Julius Nyerere Int. Airpiort
5
Eng. George Sambali
Ag. Director Engineering and Technical Services
6
Mr. Daniel E. C. D. MsuyaChief Internal Auditor
7
Mr. Mtengela HangaHead Procurement Management Unit.
8
Eng. Raphael W. BokangoAdvisor to Director General
9
Mr. Ramadhan A. Maleta
Legal Secretary
10
Mr. Cristom ManyologaChief Fire Officer
11
Eng. Mohamed MillangaChief Compliance Unity
 
Huu uwanja ulikuwa unaitwa DIA au Dar Es Salaam International Airport, hivi ni nani aliubadili jina akauita JKNIA?

Kama yupo hai basi ni mpumbavu na punguani. Alisikia au aliona wapi alichokianzisha Nyerere kikadumu?
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti
 
Mimi wale wanaosimama mlangoni tu kwa gia ya usalama wa taifa! Yaani omba omba hadi kero...utasikia, mpe huyo kijana (mfanyakazi aliyekubebea mizigo) ya vocha arudi nayo. Ukifika nje, wewe si utamwambia kijana wa watu kuwa achana naye ili usimpe kitu? Kijana naye atabembelezaje kuomba umpe manake yule bwana kule mlangoni atamsumbua sana......
 
Wewe ndiye mpumbavu na mjinga. Unamhusishaje Nyerere na kudumu kwa kitu!!! Tumia ubongo kufikiri badala ya mat....ko . Inawezekana una visa binafsi na Nyerere. Au wewe ni fisadi nini!!

Mkuu usiwe na jazba, jamaa kauliza swali zuri - wewe mpe mifano yaku-counter maoni yake kama unayo! Mfano: Viwanda, Mashirika ya umma, Maduka ya ushirika, National Service, Air Tanzania, Vijiji vya ujamaa the list is endless.
 


Mkuu hii imekaa vipi? I mean item No.8 - yaani mtu anakuwa employed kwa post ya kuwa advisor wa Director General!!! hii kali!!
 
Swissport pamoja na majukumu aliyopata, mazingira ya kufanyia biashara yake huduma kama usafi unamhusu.Kampuni itapataje wateja wakati ofisi hizo nyeti ni chafu.escalators hazifanyi kazi ,yeye anafanya maboresho gani?Hii ndiyo inatugharimu kufanya mikataba mibovu na kuliingizia taifa hasara na aibu. Usiishie hapo mwana forum barabara ya Kilwa eneo la Mbagara Rangi Tatu pita uone mkandarasi kajenga Mitaro ya maji ya mvua maji hayaendi,kunanuka na Tanroads amepitisha kuwa kazi imekamilika hivi kweli watu wakionyesha kidole mwasema wapinzani,wataalamu wetu akili imeganda na njaa kali ndiyo inatupelekea hayo.Katikati ya jiji la Dsm mji umejaa msongamano wa magari eti Strabag anajenga barabara ya mwendo kasi,karandua barabara zote mwanzo hadi mwisho bila sababu kwa nini asifanye kazi kwa phases? Pia sehemu nyeti kwa nini asifanye usiku au jumapili na kwanini wakati wa sikukuu za mwaka mpya naye alipumzika akijua kwamba nusu ya wakazi wa dsm wako makwao na shule zimefungwa? huku ndiko kunaleta utata na watu kuwa na hasira na serikali yao.Vitu vingine hutakiwi kwenda shule ni busara na kushauriana bila kuleta mbwembwe.Nilitaka kusahau kidogo kama ukifika Jangwani sekondari nenda hadi Muhimbili majeneza.Kuna mashimo yamejitokeza baada ya mvua kuanza kunyesha kumbe mashimo hayo yalizibwa wakati wa jua kaali kwa kifusi badala ya kokoto na lami hivi kweli tunao wahandisi?Jamani ogopeni mungu atakasirika BYE
 

Hili neno; mipangp iliyopo, mikakati inaendelea, mchakato unaendelea nk... yamekaa kiCCM CCM and I hate them... Hatutaki kujua mipango yenu, we know you have hundreds of them lakini haitekelezeki,,, tunataka actions.

Pili, kuhusu hilo suala la usumbufu pale mlangoni, sio leo wala jana malalamiko yameanza... sitegemei kipya kutoka kwenye hicho 'kikao', maana sitegemei kuibuka kwa mawazo mapya hapo... wote ni wale wale...

Tatu, Hiyo terminal three, tangia wamezungushia mabati, leo ndo wanamaliza design?!!!

Nne, ni uwongo mkubwa sana kusema vitu vinaibwa vilikotoka. Kumbuka vitu haviibwi tu wakati wa kutoka, bali wakati wa kuingia. Mi niliwahi (mwaka jana), kuibiwa hard disk, na baadae aliyeinunua akawa ananitumia baadhi ya documents zangu kwenye email... kwa kiswahili, na akasema aliuziwa hapa bongo...

Acha urongo...
 
Mheshimwa Kipara Kikubwa vyoo je, au navyo vimeagizwa?
Huu uwanja wa ndege wa Dar es salaam ni uwanja mchafu kuliko wote kusini mwa jangwa la sahara. Sijui kama kuna meneja wa uwanja huo , Sijali kama wanauita nani.

Utakuta waya za umeme ziko wazi, paa linavuja , ikifika usiku wafanyakazi wanajilalia hovyo kila mahali tokea wafanyakazi wa uhamiaji mpaka wavyagizi. Utakuta wanalala mpaka vyooni
 
Ilikuwa ni raha na Burudani Home walikuwa wakija wageni kutoka Bush lazima muwapeleke....
 
Mkuu Kipara kikubwa,

Ni vema ulivyoeleza kuwa kwa sasa kuna viwanja vingi vinajengwa Tanzania na ukasema vinagharimu pesa nyingi, ila mimi ningeona busara ingetumika nguvu ikaelekezwa hapo JNIA kwa sababu macho ya wageni wote yako hapo.

Tatizo kubwa Tanzania tunabeba vitu vingi kwa wakati mmoja na hatuvimalizi. Tuwe na vipaumbele.
 
Last edited by a moderator:
uwanja huu ovyo kabisa hata choo zao azifai kabisa azina hata maji ya kufanyia usafi ukiwa umemaliza kushusha gogo eti wameweka matoilet paper tu bila maji apafai kabisa ni pa ovyo sana yan sana
 

mkuu unategemea nini kutoka kwa serikali ya wauza unga?
 
Sisafiri nje mara nyingi ila mara ya mwisho narajee nilistaajabu kwa harufu mbaya ya choo JNIA. Mtu akifungua tu mlango wote mnatafutana. Hakika niliona aibu sana nikiwaangalia raia wa kigeni kwani sisi watz eti tunajidai tumezoea uchafu. Sio hilo tu uwanja wa ndege majani kila mahali utafikiri mbuga ya wanyama. Mjini ndio usiseme, mifereji ya road drainage ndio tunageuza dampo... wacha tu sijui nisemeje!
 

nimepitia maelezo yako inaonesha wewe utakuwa mdau. hivi haya mambo ya kusema eti kitu kimeagizwa kipo bandarini tumeanza kuzisikia leo, eti idara ya usalama wataitisha kikao (future continuous) wakati hili swala ni nyeti amabapo lilitakiwa lijadiliwe haraka sanaaa leo unaniambia eti wataitisha kikao ha ha you know the problem is serikali yetu yote ni ya wasanii na pia hapo JNIA kuna watoto wa mjomba na shangazi aka shamba la bibi. pia dont tell me kuwa hii serikali haina pesa kiasi kwamba wakashindwa kujenga hiyo RWY. Tambua kuwa improvement from 0.1 to 0.1001 is nothing sasa unataka jamaa aseme ukweli upi wakati vitu vinaonekana ni zero.mkuu stop putting yourself in a box....... ni hayo tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…