Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,130
Wasalam wakuu..
Katika kipindi hiki cha mvua hapa dasalam na hata mikoa mingine tujitahidi kuwa wasafi.
Magonjwa ya milipuko kama kipindu pindu ndio yanaanziaga hapa.
Kwa wale wenzangu wa nyumba za kupanga uswazi na zenye mchanganyiko wa wa watumbali mbali tujitahidi kuhimizana kuhusu usafi.
Japo usafi na uchafu wa mtu ni kipaji ila tusichoke kukumbushana.
Kwa mwanaume uchafu is not big deal ila kwa mwanamke is too dangerous.
Niende direct sasa. Wakuu hivi unawezaje kumwambia mtu kuwa ni mchafu an unaanzaje. Unakuta ni mdada ila hana ile inaitwa personal hygiene kuanzia mazingira yake anayolala na yanayomzunguka..
Unawezaje kumwelekeza mdada kama huyu ambaye anategemea kuitwa mama watoto mda flani kuwa uchafu wako choma moto sio kuuweka unazagaa zagaa hovyo..
Wakuu unawezaje kumrekebisha mtu kama huyu ambaye kwake kuoga ni kipengele, ni wa kike ujue.
Mtu kama unamshauri vipi na unajua uki mface ni mziki mwingine. Sijaingilia life la mtu ila kuna kitu kinaitwa kero.
Kero kwa majirani na jamii inayomzunguka.....
Wazazi na walezi tujitahidi kuwalewa watoto wetu hasa wa kike katika mazingira ya kujitegemea hii ipo sana au baadhi kwa hawa wenzetu wenye uwezo. Unakuta mtoto anafikia teenage lakini mambo muhimu kuhusu personal hygiene hayajui... (Sijui shuleni wanalambaga kamasi mda wenzao wanasoma biology).
Just imagine mdada tena wa chuo degree tajer kabisa anatoka nje anaitwa pisi kali ila kwenye usafi ni shameless... Hii imekaaje mtu kama huyu una mshauri vipi wakuu....???