Mkuu ninadhani ni psychological effects za kukata tamaa.Hivi ni kwanini hawa jamaa ni ndugu, umasikini na uchafu............ Yaani mazingira ya wanapoishi machafu,mavazi wanayovaa machafu na hata muonekano wa mwili ni mchafu tu,kwanini iko hivi,ina maana huwezi kuwa masikini na ukawa msafi wa mwili,mavazi na makazi yako yakawa masafi .............. Au tunausingizia umasikini tu kwa kila kitu. WEWE UNA MAONI GANI KWENYE HILI......??
ni kweli mimi wakati mwingine ghetto kwangu nikiingia huwa naamu kutulia pembeni kabisa napaangalia najikuta nasikitika peke yangu maana panakuwa rafu hatariMkuu ninadhani ni psychological effects za kukata tamaa.
Waswahili wanasema "umaridadi huficha umasikini".ni kweli mimi wakati mwingine ghetto kwangu nikiingia huwa naamu kutulia pembeni kabisa napaangalia najikuta nasikitika peke yangu maana panakuwa rafu hatari
Ni kweli lakini hii inasabaishwa na kukata tamaa mfano mimi nimeshakata tamaa na kila kitu nafanya vitu ili muda uende tu nife nirudi kwa manani basi sina future tena kutokana najihisi nina gundu la buku nane maana hakuna jema.Waswahili wanasema "umaridadi huficha umasikini".
Mkuu sijui ulikuwa unafikiria nini..! hili swala nimekuwa nikijiuliza muda mrefu bila jibu. Angalia waendesha boda boda wengi, makondakta wa daladala.., uhhhHivi ni kwanini hawa jamaa ni ndugu, umasikini na uchafu............ Yaani mazingira ya wanapoishi machafu,mavazi wanayovaa machafu na hata muonekano wa mwili ni mchafu tu,kwanini iko hivi,ina maana huwezi kuwa masikini na ukawa msafi wa mwili,mavazi na makazi yako yakawa masafi .............. Au tunausingizia umasikini tu kwa kila kitu. WEWE UNA MAONI GANI KWENYE HILI......??
Yaani Dada yangu mimi katika maisha yangu huwa nachukia sana kumuona mtu yupo mchafu mchafu haswa akiwa hayupo ktk mazingira ya kikazi,mfano wazoa taka,wabeba mizigo na wengine wengi kwanini baada ya kumaliza kazi zao wasiende kuoga kubadili nguo kama nikuchana nywele na vitu vyote vinavyouhusiana na usafi wavifanye,lakini unamkuta mtu anarudi nyumbani akiwa kama vile alivyokuwa kazini.Mkuu sijui ulikuwa unafikiria nini..! hili swala nimekuwa nikijiuliza muda mrefu bila jibu. Angalia waendesha boda boda wengi, makondakta wa daladala.., uhhh
Hivi ni kwanini hawa jamaa ni ndugu, umasikini na uchafu............ Yaani mazingira ya wanapoishi machafu,mavazi wanayovaa machafu na hata muonekano wa mwili ni mchafu tu,kwanini iko hivi,ina maana huwezi kuwa masikini na ukawa msafi wa mwili,mavazi na makazi yako yakawa masafi .............. Au tunausingizia umasikini tu kwa kila kitu. WEWE UNA MAONI GANI KWENYE HILI......??