slobodan milosovic
New Member
- Aug 12, 2012
- 1
- 6
NAIBU WAZIRI NISHATI NA MADINI BW. STEVEN MASERE AMEPOKEA RUSHWA KIASI CHA TSH MILIONI 30 ILI KUWAFUKUZA NA KUWAPORA HAKI WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI YA DHAHABU WA MGODI WA KONKIRANGI ULIOPO KIOMBOI SINGIDA, .........
Wako manaibu waziri wawili, Simbachawene anashughulika na Nishati na Masele anashughulikia madiniJana ulikunywa ngapi!!!! Mbona Naibu Waziri wa Nishati na Madini ni Mhe. George Simbachawene.
Mbona Naibu Waziri wa Nishati na Madini ni Mhe. George Simbachawene.
Mkuu hufuatilii siasa!! Wapo manaibu wawili.
Mkuu Slobodan Milosovic, kwanza karibu jamvini, maana naona ndio kwanza umejiunga le. Pili asante kwa taarifa muhimu na nyeti kama hizi na mwisho hizo simu umeziweka za nini?!, huko ni kwenda kinyume cha "right to privacy"!.
Mkuu Pasco, privacy iko kwa maswala binafsi ya kina Masele. Hakuwezi kuwa na privacy kwenye dhahabu yetu. Haya ndiyo yalifanya kina Karamagi wanasaini mikataba mahotelini na wabunge wanaambiwa hizo ni siri za serikali hivyo hawaruhusiwi kuziona.Mkuu Slobodan Milosovic, kwanza karibu jamvini, maana naona ndio kwanza umejiunga le. Pili asante kwa taarifa muhimu na nyeti kama hizi na mwisho hizo simu umeziweka za nini?!, huko ni kwenda kinyume cha "right to privacy"!.
Tamaa ndiyo incentive inayowapeleka watu wengi kugombea uongozi. Hakuna mtu yuko pale kuwasaidia waTZ wenzake. Kama ni kweli bali masele atakuwa amejimaliza very early politically kama akina Cyril Chami. Hivi waTZ watakimbilia kwa nani kama viongozi wote wamekuwa manyanga'u
Mkuu Slobodan Milosovic, kwanza karibu jamvini, maana naona ndio kwanza umejiunga le. Pili asante kwa taarifa muhimu na nyeti kama hizi na mwisho hizo simu umeziweka za nini?!, huko ni kwenda kinyume cha "right to privacy"!.