Uchafu kwenye soda za CocaCola

Wewe vipi? Kwani huo uchafu nimeuweka mimi ili nije kuharibu brand yake? Hiyo ni soda haijafunguliwa. Au wewe ndio muhusika wa kutunywesha uchafu.
Hizi ni biashara za watu,kuharibu brand yake kunaweza kukupeleka mahakamani na ukatoe ushahidi,kuthibitisha madai yako.

Ogopa sana kucheza na masrahi na biashara za watu
 
Cocacola hapa Mwanza tayari wamekwishazidiwa na Pepsi cola. Magari mengi ya Coca Cola tayari yameegeshwa kwa kukosa wateja.
 
Umenikumbusha ni kama mwezi iliyopita nimekunya soda nikakuta kuna mende kwenye sida
 
Dah! Namshukuru Mungu niliacha kunywa soda miaka mingi iliyopita, hiyo ni hatari sana.
 
Na saa hizi kuna tatizo kubwa sana tena sana chupa zao zimechoka kweli kweli yaani ukifungua tu unakuta imevunjika mdomoni hadi naogopa. Heri wangekuwa wanatuuzia kwenye vikombe
 
Back
Top Bottom