Uchafu Geita unahitaji wahisani?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,987


Nimeangalia hii taarifa na kubakia na maswali; maswali mengine hata naogopa kuyauliza maana naweza kuambiwa natukana bure.
 
Last edited by a moderator:


Nimeangalia hii taarifa na kubakia na maswali; maswali mengine hata naogopa kuyauliza maana naweza kuambiwa natukana bure.


Mheshimiwa mbona hili tatizo lipo kila sehemu ya nchi hii. Hapa Dar penyewe uchafu umejaa kila sehemu. Wewe pita tu pale kwenye daraja la ubungo ukitokea Buguruni jirani kabisa na mitambo ya TANESCO utakuta jalala kubwa zaidi ya hilo la Geita.

Hakuna kitu hata kimoja kinachohitaji mhisani nchi hii. Hii tabia ya kuombaomba ya viongozi walioshindwa kutekeleza wajibu wao inatokana na uzembe na kutojali.
 
Last edited by a moderator:
Sehemu niliyo ipenda katika habari hii ni kauli ya mkurugenzi..." kazi ya usafi si ya halmashauri pekee, ni wajibu wa wakazi wote, mashirika yanafanyia hapa, wahisani tunaomba watusaidie..."

So pathetic, na bado wala hajawajibishwa kwa kuwa so irresponsible!!!
 
Back
Top Bottom