UCC website na picha chafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UCC website na picha chafu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bhageshi, Apr 30, 2012.

 1. bhageshi

  bhageshi JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hello wana JF, hivi karibuni kuna uzi uliwekwa juu ya tovuti ya wizara ya sheria kuwa na link zenye picha chafu (Porno) na miongoni mwao tuliofanikiwa kuhakiki kilichoandikwa kama ni kweli na mimi mmojawapo lakini hii ilionekana endapo ulitumia simu. Leo nikiwa na shida na website ya www.ucc.co.tz kwenye simu yangu nimekutana na vimbwanga vilevile kwenye tovuti hiyo. Sasa najiuliza hivi weledi wa hawa IT wa kibongo katika ku-secure websites zao zisingiliwe husana na watumiaji wanaotumia ku-access mitandao yao kupitia simu ni mdogo au hawajui kabisa? Hawajui kuwa sasa hivi watu wanaomiliki simu zenye uwezo wa ku-access mitandao ni wengi tena watoto? na je hawa TCRA nao weledi wao katika mambo ya mobile phones ukoje?
   
 2. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Zipo sehemu gani haswa!?
   
 3. bhageshi

  bhageshi JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kwa watumiaji wa simu ukifungua website hiyo na scroll down chini ya neno welcome kuna hizo link
   
 4. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  kweli bana! Nimefaidi kinoma
   
 5. B

  Buto JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona sasa wameamua
   
 6. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,449
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Hazipo
   
 7. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,854
  Likes Received: 4,223
  Trophy Points: 280
  Duh! balaa, nimehisi mnyama anaanza kujinyoosha.
   
 8. bhageshi

  bhageshi JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  taratibu basi, lengo halikuwa kukusudia ajinyooshe utanisamehe kwa hilo ila lengo ni kuamsha watalaamu wetu wa IT wawe makini katika ku-secure websites zao
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  aisee una akili kama zangu kabisa nahisi baba yetu ni mmoja ... maana...
   
 10. lindz

  lindz Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie hamna akil kwel,eti nimemfaid sana
   
 11. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Napata wasi wsi na hawa Webmasters, kwani wanasahau kuwa makini na matoleo kwa ajli ya simu. Nahisi hizo nafasi zinawapwaya; kisha kuliaibisha Taifa
   
 12. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kama UCC isingekuwa chini ya UDSM; kama ingekuwa imetokea kwenye tovuti ya chuo kingine baadhi ya watu wangesema: oohh... vyuo uchwara havina wataalamu, vinazalisha wataalamu yebo yebo n.k
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mweh.....pole sana!
   
 14. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Naombeni sabuni haraka nikimbie bafuni!
   
 15. p

  pilu JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Imensikitisha sana! Nao ucc wamesinzia wapi inamana huwa hawatembelei website yao mbona ukiingia pale ofisini kwao{udsm} hua wako bize sana na coputer zao, kama ni ivo mi nadhani wao wenyewe ndio wahusika wakuu, nadhani kuna mfanyakazi mmoja wao si mwaminifu na atakua na malengo yake.
  Ni vema tugeuze fikra na kufanya yatakayo ijenga nchi yetu.
   
 16. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tatizo,TCRA haitaki,kuwaajili vijana makini kwenye Safu hii ya IT inaleta Siasa hati kwenye vitu vinavyohitaji wataalamu,kuna watu wengi wamesoma ETHICAL HACKING kutoka nchi za nje kama INDIA,US,AUSTRALIA ,UK,GERMAN naomba wawatumie hawa watu,wapo nchini kwetu bado hawana kazi!! ukihitaji contacts zao wasiliana na vyuo vya DIT,ST. JOSEPH ENGINEERING COLLEGE,watawasidia wana contacts za watu hawa wote. kwa sababu hawa watu walitokea hivi vyuo kabla ya kwenda nje kuspecialize.
   
Loading...