WSB / WCBMange anatafuta kick kwa kuwachafua watu maarufu, pia naona anatafuta ticket ya kuwaangusha WSB na Cloud media kwa kuwatengenezea mgogoro
Haha mkuu, siku njema asee.. kumekucha!hahaaa kwli kuna wanaume wachache mnoo now deiz...wengi ni wavulana
afu watu wanampenda .....cjui kwannNiliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya.
Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu.