Ubuyu mtamu

kizibo1

JF-Expert Member
May 14, 2015
1,187
766
IMG-20170218-WA0017.jpg
IMG-20170218-WA0018.jpg
 
huyu anafikiri kwa sababu yupo huko ughaibuni hakuna anayeweza kumkamata..
 
kama anayosema mange ni kweli, makonda arukiwe tu, hata asiporukiwa leo kuna siku atakuja kurukiwa tu utawala mwingine ukitawala tz. yeye si mtoto anamwita mkulu baba na kumweka hadi loud speaker rais wa tz?kila kiburi kina mwisho wake.
 
Maclassmate wa huyu makonda humu hawapo..?
Naamini humu wapo wanaomjua vizuri kabisa, kuanzia a-z, watupe ukweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom