Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,051
- 288,508
- Thread starter
-
- #161
Mwakalinga ukishatulia na kuondoa jazba utakuja kuelewa nilichoandika .Thibitisha maneno yako! Utafiti upi uliofanya.Mtu katundikwa Manchester united.La liga ndo ligi bora angalia uefa wanakuwa wangapi hadi robo fainilia,Europa timu ya wapi inachukua,mchezaji bora wa dunia hadi wa tatu upo wapi,kombe la dunia la vilabu lipo wapi na bingwa mtetezi wa uefa champion league iko wapi.Ngoja nikueleze km haujui EPL ni league maarufu lkn imekufa bila kujijua,EPL kinachoonekana ni league ngumu ni hiki viwango vya timu kubwa na timu ndogo almost ni sawa.Timu kubwa zimebakiwa na majina na mashanikina sio mpira.nitajie timu ya England ambayo ikitoka nje ya Uingereza inayoweza mtisha Bayern,Dortmund,PSG,Napoli,Madrid ,Atletico Madrid,Barcelona, Juventus na n.k kwa ufupi haipo ,mnamcheka tu Arsenal na wengime pia mkifuzu watapigwa tu.Kuna haja pia ya kupunguza team uefa champion league maana Kiwango cha uingereza kipo chini mno.ukitaka burudani ya soccer angalia La liga,Bundesliga,league 1 utajifunza kitu ndo maana hata Tv km Azam na zingine wameona zina maana.Mulize Shaffi kwann wanaonesha hizo? Soccer limehamia hukoo
Haaa haaa.Haya Bwana.Refa3 , Barcelona 3 , PSG 1
Tupe statistics mkuu... Chelsie kamfunga Mara ngap barca na Chelsie nae kafungwa Mara ngap il twende sawa....sio lugha Chelsie kamfunga Mara nying sana bla uzbitisho....yawezekana Chelsie kashinda Mara 2 ndo unaona nying..Anamfunga sana barcelona,chelsea amenyakua UEFA mara ngapi?,chelsea bado ni mtoto mdogo sana UEFA,mafanikio ya barcelona ya ulaya uta linganisha na timu ya kata chelsea?
Umeiona sevilla? Niliwahi kusema leicister anamtoa sevillaSasa nilijua hiyo timu ya spain imecheza na timu ya Uingereza!!
Kumbe maneno!!
Sevilla out, katolewa na timu inayopigana isishuke darajaNadhani mmeonyeshwa ubora wa Laliga sawa.. Mfunge midomo
Sevilla kakalishwa na timu inayopapatua isishuke daraja ukoNi ujinga mkubwa mno kuifananisha La Liga na upuuzi wa EPL. EPL timu zote zina viwango sawa (vya chini) ndo maana kila mechi haitabiriki.
Haiwezekani bingwa mtetezi akutane na timu inayoshika mkia mechi itoke suluhu useme kuna ushindani. Huo ni ujinga.
PossibleFinali ni Leicester Vs. Madrid!
Leicester anachukua kombe
Lau kama ligi ya spain na ya EPL zinawekwa pamoja na kucheza kwa pamoja kama ligi za kawaida, timu za spain zitasuasua zikikutana na za uingereza. Bingwa wa europa mara 3 sijui 2 mfululizo, amekutana na leceister timu inayopigana isishuke daraja..... watu wakiambiwa uingereza kugumu wanafikiri tunatania.Sevilla kakalishwa na timu inayopapatua isishuke daraja uko
Hawatochomoza apa, wataendelea kuisifu uefalona kwa kuitoa psgLau kama ligi ya spain na ya EPL zinawekwa pamoja na kucheza kwa pamoja kama ligi za kawaida, timu za spain zitasuasua zikikutana na za uingereza. Bingwa wa europa mara 3 sijui 2 mfululizo, amekutana na leceister timu inayopigana isishuke daraja..... watu wakiambiwa uingereza kugumu wanafikiri tunatania.
UEFA washaona threat kwa Leceister, subiri robo final uone kama hajapewa madrid au barca au bayernHawatochomoza apa, wataendelea kuisifu uefalona kwa kuitoa psg
Leo Hawajiiii ng'ooo kweli AIBU kwa Tim kama sevilla kutolew Na leceister Cty Tena AIBUUUISevilla kakalishwa na timu inayopapatua isishuke daraja uko
AiseeePossible
Wanakamia tu hao, wewe huoni walikuwa wanacheza kwa kujilinda zaidi na kupiga counter atack? Haitaji degree kuona nani aikuwa dhaifu na tena akiwa kwao.Lau kama ligi ya spain na ya EPL zinawekwa pamoja na kucheza kwa pamoja kama ligi za kawaida, timu za spain zitasuasua zikikutana na za uingereza. Bingwa wa europa mara 3 sijui 2 mfululizo, amekutana na leceister timu inayopigana isishuke daraja..... watu wakiambiwa uingereza kugumu wanafikiri tunatania.
Total shots anaongoza LeceisterWanakamia tu hao, wewe huoni walikuwa wanacheza kwa kujilinda zaidi na kupiga counter atack? Haitaji degree kuona nani aikuwa dhaifu na tena akiwa kwao.
View attachment 483940