Zote ni nzuri inategemeana na nini unafanya kwenye komputa, tatizo siyo tool bali unataka kufanya nini? kama wewe unapenda kuchezea ma video game na unataka kutumia ubuntu then good luck. Lakini wewe kama unataka control ya OP at kernel level basi *nix system ndiyo nyumbani.
Mkuu bado unaitumia ubuntu?kwa ambao wako interested na muonekano..graphic user interface..watakwambia windows poa! Ila mimi napenda linux especialy my favorite os ubuntu.. Kwanza ni bure, ni open source, inakuja na vitu kama libre office, firefox, thunderbird, na vingine vingi...ubuntu tweaks inaifanya ucustomize upendavyo! Windows headache. Mara inatokea Copy of windows is not genuine mara office activation..i hate that
Mimi natumia Ubuntu!Mkuu bado unaitumia ubuntu?
Ubuntu ina wireless network drivers?
Nataka nihamie huko mkuu kutoka kwenye window 10. Wireless ilikuja automatically baada ya kuinstall ubuntu au uliingi9a kama driver inayojitegemea? Maana kwenye window 10 ziko automaticallyMimi natumia Ubuntu!
Ninapata wifi poa kabisa, na headache!!
Wireless ipo automatically mkuu... And very simple yani..Nataka nihamie huko mkuu kutoka kwenye window 10. Wireless ilikuja automatically baada ya kuinstall ubuntu au uliingi9a kama driver inayojitegemea? Maana kwenye window 10 ziko automatically
Ubuntu na linux nazifahamu mkuu ni ngumu kuzitumia kama hauna mazoea nayo, pia si vema sana kumkabidhi kompyuta yenye hizo os mtu ambaye ni ordinary user anaweza akakufutia mafile yako bila yeye kujua.Wireless ipo automatically mkuu... And very simple yani..
Ila kama wewe ni ordinary user wa computer, nakushauri ubaki hukohuko Windows, lakini kama ni developer, basi ubuntu ni bora zaidi!!
Windows ni tamu ila LinuxMint sitoki ng'o. Pc yangu ina dual os Windows 10 + LinuxMint 9.3Ubuntu na linux nazifahamu mkuu ni ngumu kuzitumia kama hauna mazoea nayo, pia si vema sana kumkabidhi kompyuta yenye hizo os mtu ambaye ni ordinary user anaweza akakufutia mafile yako bila yeye kujua.
Kwa kuanza mkuu, anzia na zorin ni simple, then ukimaster ndio utumie Ubuntu, linux, fedora, mint or gentooNataka nihamie huko mkuu kutoka kwenye window 10. Wireless ilikuja automatically baada ya kuinstall ubuntu au uliingi9a kama driver inayojitegemea? Maana kwenye window 10 ziko automatically
Ubuntu na linux nilishawahi kuzitumia kipindi cha miaka 2012-2014, linux os zilishawahi kuwa installed kweny kompyuta za chuo.Kwa kuanza mkuu, anzia na zorin ni simple, then ukimaster ndio utumie Ubuntu, linux, fedora, mint or gentoo
Unaweza tumia libreofficeUbuntu na linux nilishawahi kuzitumia kipindi cha miaka 2012-2014, linux os zilishawahi kuwa installed kweny kompyuta za chuo.
Nitahitaji muda kidogo sana kuzimaster tena.
Office si nitahitaji kuinstall mkuu au na yenyewe inakuwa direct kwenye ubuntu/linux?
Ila mjue hata ubuntu ni linux.Ubuntu na linux nilishawahi kuzitumia kipindi cha miaka 2012-2014, linux os zilishawahi kuwa installed kweny kompyuta za chuo.
Nitahitaji muda kidogo sana kuzimaster tena.
Office si nitahitaji kuinstall mkuu au na yenyewe inakuwa direct kwenye ubuntu/linux?
Sawa mkuu sikuwa na idea na hicho kitu!Ila mjue hata ubuntu ni linux.
Nafikiri itakuwa na features zote kama na hizi tulizozizoea.Unaweza tumia libreoffice
Mimi Libreoffice niliitumiaga kidogo nikahamia wps office ingawa haina database ila inashabihiana sana na microsoft office.Nafikiri itakuwa na features zote kama na hizi tulizozizoea.
Kwani microsoft office haikai kwenye ubuntu/linux mkuu?Mimi Libreoffice niliitumiaga kidogo nikahamia wps office ingawa haina database ila inashabihiana sana na microsoft office.
Inaweza kaa kwa kuwezeshwa na PlayOnlinux au Wine lakini huwa sipendi kutumia hizo vitu ndo maana nimeweka dual OS.Kwani microsoft office haikai kwenye ubuntu/linux mkuu?
Kama ni developer ama unacode kwa namna yoyote Ubuntu haina mpinzani ila kama ni unatumia PC kwa games ,movie na kusom windows haina mpinzaniHabari zenu wakuu,
Naomba mnifahamishe advantages za Ubuntu over Windows..
Pia kama kuna disadvantages za kutumia Ubuntu naomba kufahamishwa.
Shukrani wakuu..