Ubuntu on tablets at MWC, 25–28 February 2013

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,921
Reaction score
3,249
Baada ya Ubuntu Tv, Ubuntu Phones now ni Ubuntu Tablets.
tablet-branded-and-apps.png

tablet-home-portrait.jpg

tablet-search.png

We love ubuntu.

tablet-voice-control-HUD.png

tablet-media-player-large.png

Ubuntu on tablets | Ubuntu
 
sasa hapo itahitaji special tablet (ambayo mpaka sasa hatuijui). Kwenye simu zipo 2 (n9 na hd2)

Mkuu mara nyingi software( os ),ndo ina guide hardware requirement. Ubuntu tablet zitaanza kujaa muda si mrefu ,tusubiri ! Heko ubuntu!
 
sema wamerip design ya w8 vile vile. Watu wanaikandia windows 8 wanaisifia ubuntu then design ile ile
 
Ubuntu Tablet OS doesn't come with the device, at least not yet. According to canonical, Ubuntu Phone OS and Ubuntu Tablet OS will be able to run(installed) on any device running android and hardware requirements have already been posted in Ubuntu developer page. This OS(developer preview) will be available tomorrow(21st Feb '13) to install in any Nexus device.
 
And Ubuntu devices are not expected to ship until early 2014, according to Mark Shuttleworth.
 
Hz ila hawa maskini wa appzzz!! Wataliweza soko kweli
 
They have a very strong community and user base, and the way they have made it easy for developers to write apps that will work in both phone and tablet will be of help to them. Plus they have the oldest and arguably the most profitable software center for developers looking to sell their apps as they do not have any charges like apple.

I think its Open Source nature will help it succeed in the same way Android succeeded, it may not be to the scale of android success but at least the battle for third place is wide open for BlackBerry OS, Windows Phone, and Ubuntu Phone/Tablet.
 
sasa hapo itahitaji special tablet (ambayo mpaka sasa hatuijui). Kwenye simu zipo 2 (n9 na hd2)

Any phone/tablet running Linux kernel(not necessarily) and open hardware can dual-boot, you'll only need a power kernel(or patched kernel that enables dualboot). Other devices that have active projects on dual-boot Nokia N900, N810 (Maemo and Android), HP TouchPad(Android and webOS), Samsung galaxy S2(Android and B2G), Kite tablet(Android and Ubuntu).
 
sema wamerip design ya w8 vile vile. Watu wanaikandia windows 8 wanaisifia ubuntu then design ile ile

Kaka nakumbuka nimeshawahi kukuasa ,kuwa hata kama unakipenda sana kitu !acha nafasi ya kukikosoa ! Usipofanya hivyo unaweza kuwa mmoja wa wale wazee wetu waliamini hakuna redio nzuri kama national 277! .
JF ni sehemu ya kuelimisha na na kujifunza kwa kila mtu , nikimaanisha kwamba hakuna mtu humu anajua kila kitu na hakuna pia mtu humu ambaye hajui kila kitu . Najua wewe ni mpenzi mzuri wa vitu popular i.e window os , nokia phone etc, kaa ukijua kuwa mambo sio mazuri kwenye closed system .
RIPPING DESIGN Ya window 8: Ni hivi! katika kuweka copyright ya kitu chochote duniani , Huwa kuna mambo ambayo yanachukuliwa kama ni fundamental core , yaani huwezi kufanya yawe yako peke yako , hata kama wewe. Ndio wa kwanza kuyafanya ! nadhani unakumbuka ile kesi ya philips. walipokuwa wanaitroduce shavers miaka ya 90 walishtaki other manufactures kwa kuweka tri angled round razors wakisema ni copyright yao,kilichotokea philips alishindwa kesi kwa sababu ilikuja kufahamika kuwa bila hizo round razors ilikuwa haiwezekani kutengeneza battery powered shavers.
Ubuntu hawezi kuja na kila kitu kipya ,kwa sababu some of the core muhimu anazohitaji kudevelop os tayari window anadai ni zake!
Kaka mkwawa japo wapenda window ,uelewe tu kushidana open os kama ubuntu and the like , ni kama kushindana na Nguvu ya uma! Unaweza kushinda kwa status kwa muda fulani lakini si muda wote. Watu wanataka free os yenye free support na apps za kutosha ,inayoweza kukosolewa,kusahihishwa kama ina mapungufu .nk. kwa sasa window hana tena monopoly , (mbinu pekee iliyokuwa inawafanya watu waamini hakuna os zaidi ya window!) ndo maana waona hata net profit ya bill G. Inashuka .
Nawakilisha!
 
great!!
 
sema wamerip design ya w8 vile vile. Watu wanaikandia windows 8 wanaisifia ubuntu then design ile ile

Mkuu, design ipi ya Window 8 imeigwa? kumbuka Disign ya Ubuntu ya Unity na GNOME ilianza kwenye Ubuntu 11.04 ambayo Window alikuwa hajatoa 8.

Ubuntu ina some features za Mac lakini sio Window 8.
 
Ubuntu hawezi kuja na kila kitu kipya ,kwa sababu some of the core muhimu anazohitaji kudevelop os tayari window anadai ni zake!

Ubuntu ana mionekano mipya ambayo window na mac walikuwa hawana. Kwani GNOME na UNITY zilikwepo? Pia tofauti Ubuntu unaweza kuchagua Desktop background utakayo unaweza kutoa Unity ukaweka Gnome au zote.

Kusema Ubuntu ni kama Windows 8 nakataa, ila kusema Ubuntu ni kama Mac hapo kidogo nitakubali maana waliodevelop ubuntu wengi ni walitoka Mac.

Idea ya kufanya Start iwe full screen sio ya Window, walianza Mac wakaja Ubuntu then Fedora ndio window akaja nayo. So kunaweza kukawa na ufanano ila kuna utofauti.

Angalia Bar ya Ubuntu inakaa juu kama Mac, notifications zake, Ukienda Dash/Start yake n.k pia haina vitu vingi ili kufaongeza Speed.
 
inawezekana ni ujinga wangu sababu situmii ubuntu hebu naomba mnijibu watu wa ubuntu hizi claims za microsoft. Nafkiri fact ni nzuri zaidi kuliko personal atack.

1. The way ubuntu ya tablet inavohandle multitasking.

Kwenye windows 8 tumeona kua zote angle nne zinatumika kwenye kuhandle multitasking na kitu hiki kimeonekana kwenye ubuntu ya tablet je before hapo ubuntu ilikua inahandle multitasking kwa kutumia angles??

2.jinsi search na vitu additional vinavyofanyika

mkuu kwenye windows 8 nimeona ukitaka kusearch kinakuja ki column flani toka pemben kinacover kama robo ya screen, same kwenye kuview network na mambo mengi. Ubuntu wao kwenye ya simu walieka colum ya icon. But nashangaa kwenye tablet imekuja kama ya windows 8. So tell me na hii ilikua before?
tablet-search.png

na hapa naeka picha ya w8 ikisearch
4073d1331146520-search-windows-8-app.jpg
 
Partly you are right kuwa it looks like windows 8 the way it does stuffs, but tusishau kuwa in ubuntu indicators have always been to the top right corner, na kila indicator had a drop down menu from day one, which is exactly the same here only that they added a search applet/indicator pale...
 
Back
Top Bottom