Ubunifu

Duh msifanye hivyo kwa dikteta wetu mtaadhibiwa.
 
Huyo jamaa akiwa rais kuna watu watahama Marekani.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huyo najua hata African leaders wanamgwaya including ourz
 
[emoji23][emoji23] hivi mbona huyo jamaa anandamwana sana..!? sio wandishi wa habari sio mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…