Ubunifu wakati wa kusimamia mitihani

Ubunifu wakati wa kusimamia mitihani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
935848_610099515674357_1000519733_n.jpg
 
Mitihani mingi Masaa matatu au zaidi....Je, Mbupu zake zitasalimika kweli anavyoukalia huo ubao kwa style hiyo?
 
Bujibuji na Kongosho
nisaidiedi hili jukwaa la jf photo nimelisusa kabisa sioni picha kabisa naona plain tu as if hujapost kitu! Nazungumzia kwa mimi ninayetumia simu wakati nikiwa sipo na pc/lptp
au nawenzangu ni hivyo au mimi tu?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikuitie Younger Master, huwa anajua haya mambo

Yaani mie ikifika mida hii, nabakiza akili ya kahawa tu

Bujibuji na Kongosho
nisaidiedi hili jukwaa la jf photo nimelisusa kabisa sioni picha kabisa naona plain tu as if hujapost kitu! Nazungumzia kwa mimi ninayetumia simu wakati nikiwa sipo na pc/lptp
au nawenzangu ni hivyo au mimi tu?
 
Last edited by a moderator:
Ila mbona naona kama wanaongea tuuu..ngoma akidondoka toka huko juu
 
Back
Top Bottom