Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,955 Reaction score 15,115 Jul 16, 2023 #1 Nimependa sana hii ilivotumika
N nyanda madirisha JF-Expert Member Joined Apr 1, 2019 Posts 444 Reaction score 795 Jul 16, 2023 #2 HUjaona kwamba inatweza utulwa wahusika hasa kina mama?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,166 Reaction score 103,463 Jul 16, 2023 #3 Hapo inakuwa siyo private parties tena.Hizo ni "open cheque s"!Hawakufikiria kwa kutumia hata asilimia tatu ya akili zao.
Hapo inakuwa siyo private parties tena.Hizo ni "open cheque s"!Hawakufikiria kwa kutumia hata asilimia tatu ya akili zao.
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,023 Reaction score 3,890 Jul 16, 2023 #4 nyanda madirisha said: HUjaona kwamba inatweza utulwa wahusika hasa kina mama? Click to expand... Mkuu, Kwa nini hasa akina mama? Mimi naona jinsi zote hazijasitiriwa kwa namna iliyo sawa.
nyanda madirisha said: HUjaona kwamba inatweza utulwa wahusika hasa kina mama? Click to expand... Mkuu, Kwa nini hasa akina mama? Mimi naona jinsi zote hazijasitiriwa kwa namna iliyo sawa.