Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,840
Yaani hukuti jingine na anapost kila sekunde. Akidownload katuma. Mzee kausha basi. Tumekubali acha thread itembeYaani kuna forum ukiingia unakuta mshana mshana mshana. Kule ujenzi pamechafuka. Unaamua tu utoke hukuti mada😂😂😂.
Mara ujenzi kutumia mbao, mara makopo, kule chuma. Mara ubunifu kujenga kutumia mende. Yaani hukuti jingine na anapost kila sekunde. Akidownload katuma. Mzee kausha basi. Tumekubali acha thread itembee😂😂😂😂