palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Halafu kuna majinga yanazuia uwanja, pasipo kujua kuwa kampeni za UKAWA hazitegemei viwanja ili kufanikiwa!
wakati wao wanang'ang'ana na style yao ya kizamani ya kugawa khanga chakavu , UKAWA MAMBO MAPYA !
Ccm tumethilubutu na tunaweza.. tunayajua matatizo ya Watanzania tulianza kuyatatua na tunaendelea kuyatatua.. Ccm oyeee
wacha wee!!!. Naona ukawa imekugusa sana.. Tutaonana sku tatu baada ya 25 oct