Ubunifu katika harusi

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,894
1,225
Wana JF siyo siku zote watu wanafanya harusi za kufanana kwa kukosa ubunifu. Hebu angalieni hizi harusi mpate maujuzi na maubunifu.
 

Attachments

 • Harusi.jpg
  File size
  47.1 KB
  Views
  78
 • Harusi2.jpg
  File size
  33.4 KB
  Views
  81

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,799
2,000
attachment.php

huyu jamaa ama bibie lazmaatakua ni mhandisi,lol. ila sasa ukianza kuulizia kukodi kijiko kimoja kwa ajili ya show za harusi unaweza kukuta limousine ni cheaper. na polisi wa bongo walivyo na masifa,sheria za barabarani zinahusika.muulize magufuli anajua punda haruhusiwi kutumia lami
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,599
0
nadhani ile ya kwanza ilikua ni hali tu imetokea na wakaomba msaada wa mkokoteni as other people would do. ila hii ya pili utakuta wote wawili wanafanya kazi kwenye campuni inayo tumia hivyo vifaa na wafanya kazi wenzao wakaamua kuwaonesha sapot kwa kutumua njia hiyo. not bad...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom