Ubunifu ama bange?

Naenda kulala nikiamka atakuwa ameshaanza mada mubadala. Nite nite my mdogo huku joto leo we acha tu.

Wakati nakujibu kaja na zake hajui tumetoka wapi na chama hiki.
pumzika dada
 
kisa mwafrika ndo kabuni..............
angevaa mzungu c mngesema ubunifu....!
 
Ugumu wa maisha kipimo cha akili!!Bangi nyingi mbele bonde...
 
Hii ingetoka New York watu wangeiga na kuuziwa bei mbaya. Tatizo ikitoka Manzese tu.
 
Kweli kuna njaa hadi mifuko ya kuhifadhia chakula watu wanaivaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…