KWA SABABU WEWE NI MANGI NI LAZIMA UJIAPIZE HIVYO UJIAPIZAVYO LAKINI ukweli kuhusu jimbo la ubungo na wakazi wake tunaujui sisi wakazi wa jimbo husika.
-wakati nchi nzima na majimbo yoote ya DSM barabara zikijengwa, ubungo imetelekezwa
-wakati wentezu wakiendelea kufurahia kupanuka kwa huduma za maji katika majimbo yao, sisi ubungo tumetelekezwa
- wakati wawakilishi wa majimbo mengine ya dsm wakiongelea wananchi wao wanliowapigia kura ili kuwawakilisha, Mnyika yuko busy na mabo yasiyo na tija kwa wanaubungo.
labda niwaambie kitu'' SOMEONE WHO KNOWS EVERYTHING IS EXPERT OF NOTHING''' na ndivyo alivyo mbunge wetu. anajifanya mjuzi mnooo wakati ni mbumbumbu mpuuzi tuu.
-jeuri,kiburi,majivuno na kukosa heshima kwa viongozi wa serikali kumesababisha jimbo la ubungo kuwa nyuma kimaendeleo katika miaka mitano iliyopita. imezidiwa hata na majimbo yenye watu wa tabaka la chini????
iwe jua ama mvua....... MNYIKA HAWEZI KURUDI BUNGENI. HATA KAMA AKINA MANGI MTAANDAMANA UTUPU.
kwa HALIMA MDEE siwezi kutia neno kwani kazi zake zimeonekana at least