Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Dar es salaam Ukawa walishamaliza biashara. Hakuna nguruwe itayosumbua. Kidogo Ilala kwa Zungu. Segerea Ukonga Temeke kwa muuza sembe Kinondoni na Kigamboni Kweupeee. Ukawa Tumaini Letu.
CCM imedhamiria. Imepania kwelikweli. Kuifanya Dar es Salaam kuwa UPINZANI FREE ZONE.Kama ilivyo Dodoma. Mikakati imesukwa na imesukika. Majimbo ya Ubungo na Kawe sasa yako chini ya CHADEMA. CCM imeapa kuyarejesha majimbo hayo kwa njia ya sanduku la kura hapo Oktoba mwaka huu. Bwana John John Mnyika na Bibi Halima Mdee wakae chonjo. Majimbo yote ya Ilala,Kinondoni,Kawe,Ubungo, Segerea,Ukonga,Temeke na Kigamboni yanapaswa kuwa ya CCM.
Wametafutwa na kupatikana wagombea wa kuyanyakua majimbo yote ya Dar es Salaam. Tunazo taarifa kuwa wapinzani wetu nao wamejidhatiti kunyakua majimbo kadhaa humu Dar es Salaam. Lakini,tutaibuka kidedea kama chama tawala na chama komavu. Tukutane Oktoba tutakapotaka kuyakomboa majimbo ya Ubungo na Kawe na kuyatetea mengineyo.
Oktoba, mtoto hatumwi dukani!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
mchaga ametoka wapi CCM? Aende 'chagadema'Ubungo CCM atasimama mjumbe wa NEC kupitia wilaya ya Kinondoni Mh. CALIST LYIMO. Jembe la ukweli la Kinondoni
Kwahiyo mwaka huu jimbo la Ubungo mtamsimamisha Nape amng'oe Mnyika??? mbona mtakuwa mmerahisishia kazi Mnyika. Nape hawezi kupata hata nusu ya kura atakazopata MnyikaElimu ya bure kwa msiofahamu,kama si kuondolewa jina la KIPI WARIOBA kuwa mgombea wa CCM Kawe leo Halima Mdee asingekuwa mbunge Kawe.Kama si kuondolewa jina la NAPE Ubungo leo Mnyika asingekuwa mbunge Ubungo.
Mwenye kujua kutukana atukane,mwenye kubisha na abishe.
Ninaishi jimbo la Kawe.
Dar es salaam haina siasa za upinzani.
Karibuni
Wakazi wa ubungo wanajua thamani ya John Mnyika awapo bungeni, jimboni na sehemu yoyote inayohusu uwakilishi, halafu maeneo hayo watu hawajahongwa nyumba za nhc kama ilivyo ilala na kinondoni.
Ubungo wananchi wamejijengea nyumba wao wenyewe, hakuna mwenye nidhamu ya woga hata mmoja.
Pole sana mzee Tupatupa, waambie lumumba kuwa mikakati yao inafanana na mipango ya kumtahiri paka.[/QUOT
E]
Jimbo la kinondoni ni sawa na moshi mjini ni chadema.huwa watu wake hawahusudu pilao kama temeke.ubungo,kawe na huko kwa makongoro ccm labda yesu arudi hawatayapata haya majimbo.kwanza kuna wasomi na watu wengi wenye uwezo na hawatamanishwi na pilao na buku 5 za lumumba.unajua asilimia kubwa ya makabila yanayoishi maeneo hayo?mkafanye sensa mtajua ni makabila gani
Mdee ameshatoswa na Chadema kawe, mchumba wa Slaa mwanamama josefine mushumbusi atagombea,
CCM imedhamiria. Imepania kwelikweli. Kuifanya Dar es Salaam kuwa UPINZANI FREE ZONE.Kama ilivyo Dodoma. Mikakati imesukwa na imesukika. Majimbo ya Ubungo na Kawe sasa yako chini ya CHADEMA. CCM imeapa kuyarejesha majimbo hayo kwa njia ya sanduku la kura hapo Oktoba mwaka huu. Bwana John John Mnyika na Bibi Halima Mdee wakae chonjo. Majimbo yote ya Ilala,Kinondoni,Kawe,Ubungo, Segerea,Ukonga,Temeke na Kigamboni yanapaswa kuwa ya CCM.
Wametafutwa na kupatikana wagombea wa kuyanyakua majimbo yote ya Dar es Salaam. Tunazo taarifa kuwa wapinzani wetu nao wamejidhatiti kunyakua majimbo kadhaa humu Dar es Salaam. Lakini,tutaibuka kidedea kama chama tawala na chama komavu. Tukutane Oktoba tutakapotaka kuyakomboa majimbo ya Ubungo na Kawe na kuyatetea mengineyo.
Oktoba, mtoto hatumwi dukani!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
CCM imedhamiria. Imepania kwelikweli. Kuifanya Dar es Salaam kuwa UPINZANI FREE ZONE.Kama ilivyo Dodoma. Mikakati imesukwa na imesukika. Majimbo ya Ubungo na Kawe sasa yako chini ya CHADEMA. CCM imeapa kuyarejesha majimbo hayo kwa njia ya sanduku la kura hapo Oktoba mwaka huu. Bwana John John Mnyika na Bibi Halima Mdee wakae chonjo. Majimbo yote ya Ilala,Kinondoni,Kawe,Ubungo, Segerea,Ukonga,Temeke na Kigamboni yanapaswa kuwa ya CCM.
Wametafutwa na kupatikana wagombea wa kuyanyakua majimbo yote ya Dar es Salaam. Tunazo taarifa kuwa wapinzani wetu nao wamejidhatiti kunyakua majimbo kadhaa humu Dar es Salaam. Lakini,tutaibuka kidedea kama chama tawala na chama komavu. Tukutane Oktoba tutakapotaka kuyakomboa majimbo ya Ubungo na Kawe na kuyatetea mengineyo.
Oktoba, mtoto hatumwi dukani!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mzee Tupatupa najua tupo pamoja,tupe hint ya mikakati hiyo ili tuanze kujiweka sawa.
Ila usisahahu KUWAFUNDA vijana wako wanaoingia JF na badala ya kutetea HOJA wako busy kutoa KASHFA na MATUSI,kwani hawakisaidii hiki Chama Chetu Cha Mafisadi.Sawa Mzee wangu?
Najua upo makini huko uliko.:whoo::whoo: