Weka picha hata yako yatoshahabari haina picha hii?
Alikuwa kwenye bodaboda, tumsamehe.habari haina picha hii?
UBUNGO, DAR: Jengo la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kubomolewa muda huu kutokana na sehemu ya jengo hilo kuwa ndani ya hifadhi ya barabara
toa ushuzi wako mi ndo jengo?Weka picha hata yako yatosha
kwani hilo jengo ni la lowasa?Lowasa amesema anarud CCM... taarifa nilizopata hvi punde ni kuwa kutokana na kauli hiyo ya mh edward Lowasa Jengo la Tanesco ubungo limestishwa kubomolewa
Yap 50/50 na LAPFkwani hilo jengo ni la lowasa?
aiseee.Okay.Kwa hio ndio maana lilijengwa kwenye road reserve?Yap 50/50 na LAPF
Duh kumbe.Yap 50/50 na LAPF
La wizara ya maji nadhani nalo litakuwa la Mbowe.aiseee.Okay.Kwa hio ndio maana lilijengwa kwenye road reserve?
libomolewe tu.Lowasa Fisadi sana.Nilikuwa najiuliza ..how come serikali ijenge kwenye road reserve..kumbe ni mwizi Lowasa
wabomoe haraka sana