Ndugu yangu Galapagosi unategemea barabara itajengwa vipi bila wamachinga kuondoka eneo lile. Halafu pale ni barabarani unasema wapewe eneo rasmi la biashara kwani pale ni sehemu rasmi? Maendeleo yanakuja na matatizo ilo halikwepeki cha muhimu kama kuna stahiki za kulipa walipwe lakini kwa maono yangu eneo lile sio rasmi kufanya biashara. Au unataka tusijenge fly over kupunguza foleni ili watu wauze mitumba, mboga na toys maeneo yale? Jaribu kuwaza kwa kinaTatizo ni kwanini serikali hahikutenga sehemu ya wamachinga.
Mradi wa flyover ndio unawakumbusha mwazo walifanya makosa
We have IGP Siro. No kibaka will try that!Daslama mjiandae kwa wizi na roba za mbao/misumari
mkuu nipo upande wako kabisa sikuunga mkono toka mwanzo kabisa.Ndugu yangu Galapagosi unategemea barabara itajengwa vipi bila wamachinga kuondoka eneo lile. Halafu pale ni barabarani unasema wapewe eneo rasmi la biashara kwani pale ni sehemu rasmi? Maendeleo yanakuja na matatizo ilo halikwepeki cha muhimu kama kuna stahiki za kulipa walipwe lakini kwa maono yangu eneo lile sio rasmi kufanya biashara. Au unataka tusijenge fly over kupunguza foleni ili watu wauze mitumba, mboga na toys maeneo yale? Jaribu kuwaza kwa kina
nilidhani unapinga. Kama unaunga mkono ule mradi pamoja sana pale foleni itakuwa historia na wakiweka nyingine pale magomeni na fire basi jiji litakuwa lishafungukamkuu nipo upande wako kabisa sikuunga mkono toka mwanzo kabisa.
kwani walitoka wap?Hivi wako wangapi pale Ubungo na watakwenda wapi?
SawaWe have IGP Siro. No kibaka will try that!
acha kulia njaa mjomba,jiajiriVijana nchi hii sijui wamekosea nini, wanachukuliwa kama MAJAMBAZI ?
- Waliosoma hawapewi ajira ?
- Wakiwa machinga wanafukuzwa kila leo na polisi ?
- Wakifanya biashara zao ziwe rasmi hawapewi TAX HOLIDAY wala GRACE PERIOD. Hata kabla ya faida wanakabwa na TRA, TFDA, NEMC, OSHA, FIRE, BRELA, COSOTA etc
- Hivi vijana wa nchi hii WAISHI Vipi ?
Kuna watu wao wameumbwa kulalamika katika maisha yao yote wawapo duniani. Na hiyo ni kansa kwenye bongo zao.Ndugu yangu Galapagosi unategemea barabara itajengwa vipi bila wamachinga kuondoka eneo lile. Halafu pale ni barabarani unasema wapewe eneo rasmi la biashara kwani pale ni sehemu rasmi? Maendeleo yanakuja na matatizo ilo halikwepeki cha muhimu kama kuna stahiki za kulipa walipwe lakini kwa maono yangu eneo lile sio rasmi kufanya biashara. Au unataka tusijenge fly over kupunguza foleni ili watu wauze mitumba, mboga na toys maeneo yale? Jaribu kuwaza kwa kina
Kwani hao Machinga wanaofukuzwa wamefanyaje mangi ?
Wakipatika viongozi kama hawa 20 tanzania itapiga hatu mbele kwa kasi sana. Saruti sana msitahiki meya BJView attachment 578461 View attachment 578462 View attachment 578461 View attachment 578462 View attachment 578467 View attachment 578471 View attachment 578468 View attachment 578468
Leo tarehe 30 August 2017, Mstahiki Meya wa Halmashauri Ya Manispaa Ya Ubungo,amefanya mkutano wa hadhara akihutubia wamachinga,katika makutano ya Ubungo Mataa.Akiambatana na mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Bw.John Kayombo pamoja na Maofisa kutoka ofisi za TANROANDS,JESHI LA POLISI,WIZARA YA UJENZI, MKANDARASI WA FLYOVER UBUNGO- CCI-CCE,
Wenyeviti serikali za mitaa na watendaji wa kata za Makuburi,sinza na Ubungo.
Ikiwa dhamira yake ni Kuzuia Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwaondosha kwa Nguvu wa Machinga katika makutano ya Ubungo mataa,baada ya Kulalamikiwa na Mkandarasi wa FLYOVER UBUNGO,kuwa wamezagaa sana katika maeneo hayo kiasi cha kukwamisha Ujenzi wa Mradi ikiwemo kukosa eneo la kuweka vifaa vyao kama ,vifusi na Mitambo ya Ujenzi katika Eneo hilo.
Akiongea katika mkutano huo ,Mstahiki Meya amewaomba Wamachinga wapishe kwa Amani ishara kumuunga Mkono yeye (Meya) katika jitihada za Wamachinga kushughulikiwa kero zao bila ya Jeshi la Polisi kuwapiga Mabomu,
Aidha amewaruhusu wamachinga kwenda kupanga biashara zao popote pale barabarani nje ya eneo la Mradi, watakapo ona inafaa bila ya kubughuziwa na mtu yeyote,kufuatisha kauli ya Mheshimiwa Rais Kuwa Wamachinga wasisumbuliwe ,na Kwa Wale watakao taka kurejea kituo cha Mawasiliano,Manispaa ya Ubungo imeandaa utaratibu Mzuri wa Kuponi Maalumu kwa Wamachinga wa Ubungo.
MWISHO
Pamoja na kujadiliana changamoto mbalimbali na Wamachinga Viongozi wamekubali kuwaongezea siku tatu Mbele Wamachinga ilikujipanga namna ya kuondoka Eneo la Mradi,Na pia baadhi ya wamachinga wameomba kazi za vibarua katika Mradi kwa kipindi ujenzi utakapoendelea,huku Mama lishe wameruhusiwa kubaki kuwapikia Mafundi katika Mradi kwa utaribu Maalum kama Fursa ya Kipekee kwa kina mama hao.
Imetolewa Na
OFISI YA MSTAHIKI MEYA
MANISPAA YA UBUNGO