ma dear u made ma day nimecheka mpaka basi mana mm mbado kuona hayo mambo jamani wacha nikajionee na mm mwezi wa kwanza kwa macho yangu...........kama kweli ilo eneo ni ubungo ama lah! na mengineyo mengiiiiiiiii.................nitazururajeeeeeeeeeeeeWala hujakosea mkuu. Mwaka jana niilipokua Dar desemba nilishangaa hata nikawa najuta kuwasili Bongo mchana kweupeee!!
Mchizi nilikua niko juu ya daladala trying to get the home feeling na amini usiamini kulikua na jamaa kasimama barabarani akikojoa mtaroni laivu!!!...Mwenzio mbona nikamaka kwa mshangao na abiria aliyekua amekaa ubavu wa pili akaniuliza "hivi wewe ni mgeni hapa mjini?" namii nikamwambia ndivyo na ndo nimelandi kutoka Marekani. Jamaa akacheka kisha akanijibu "karibu nyumbani, utazoea tu". Nilishangaa na nikakataa kauli yake eti "nitazoea'....there is no way in hell nitaozea kumwona mtu mzima hoyvoo, dudu nje akimwaga jojo kadamnasi mitaa ya Sinza.
Kisha kuanzia mitaa ya Mikocheni hadi Kawe ndo hapafai kabisa maana ni arufu mtindo mmoja!!! Maji taka hayazolewi na hata wakifanya kuzoa ni upuzi mtupu. Jamaa wanatoa uchafu ndani ya mtaro na kuuweka right at the top. In simple common sense, when it rains wont all this trash go right back into the drains jamani!!!? Nilipohoji nikaambiwa jama wanafanya hivyo maksudi ndo waweza kuhifadhi kibarua for the next day...Gaaadem!...Yaani Bongo kivyakevyake aisee. Kisha maeneo yenyewe nd'o barabara inayopitiwa na matasha na nikahooji tena kwani hawaoni hali ilivyo hususan kukinyesha. Nikaambiwa ukilinganisha na swala la kwamba jamaa wanaendesha mashangingi fuli-kipupwe, kwani wanaipata hio harufu?...najua ushapata jibu hapo!
Kisha ukiingia mjini wakati mambo ya umeme yanaleta kasheshe utajuta!...Kelele ya majenereta ni kama kuzimu! Yaani waliohujumu wananchi wa Tanzania kwa skendo za ishu za umeme hawakuwatenedea wananchi haki...but then again, who cares.
Kisha hapo Ubungo nitawaachia wenyewe wajadli. Kama Nyani alivyosema hapo juu watu wanaosindikiza abiria wanatozwa hela lakini
hujui hela inaenda wapi au ni ya nini. There is no official communication for that matter. Kisha kila mtu ni mwizi/tapeli hususan kipindi cha krismasi na shamrashamra za New Year. Utauziwa tikiti na jamaa kisha mkishamalizana na umekaa kwenye nafasi yako, anatokea konda mwengine anakudai hela zaidi. Ukijaribu kumtafuta aliyekukapa tikiti humuoni. Mwenzenu niligoma kushuka basi la Tanga kwa upuzi huo. Jamaa ilibidi nimmwagie kimombo na kumsuta mbaya sana. Tatizo langu lilkua usumbufu tu wa hawa matapeli. At the end of the whole saga tukawa washkaji mpaka kubadili namba za simu na niikapata kupiga tripu zengine mbili na jamaa hadi Mombasa na kurudi Dar.
Bongo tambarare wakuu...akili mukichwa!
huu msemo wa jk unanipaga raha saaaaaaaaaaaaaana mie loh!.............tumethubutu tunaweza na tunasonga mbele huku anabatasamau as usualJiji lote la Dar ni dampo ya uchafu. Mie sioni hata sehemu yenye afadhali. 2010 Dar ilikuwa jiji la 7 kwa uchafu duniani na ya tatu kwa uchafu Afrika sidhani kama kuna ahueni yoyote iliyotokea 2011. Wamethubutu, wameweza na sasa wanasonga mbele.
Then YOU do something. Sijasema ukuzoe ule uchafu but try to use your right as a citizen to exercise some agency...
kitu gani kingine kinakupaga raha?huu msemo wa jk unanipaga raha saaaaaaaaaaaaaana mie loh!.............tumethubutu tunaweza na tunasonga mbele huku anabatasamau as usual
Ulivo andika tu hapa, I can tell you have been to the real Dar... lolWala hujakosea mkuu. Mwaka jana niilipokua Dar desemba nilishangaa hata nikawa najuta kuwasili Bongo mchana kweupeee!!
Mchizi nilikua niko juu ya daladala trying to get the home feeling na amini usiamini kulikua na jamaa kasimama barabarani akikojoa mtaroni laivu!!!...Mwenzio mbona nikamaka kwa mshangao na abiria aliyekua amekaa ubavu wa pili akaniuliza "hivi wewe ni mgeni hapa mjini?" namii nikamwambia ndivyo na ndo nimelandi kutoka Marekani. Jamaa akacheka kisha akanijibu "karibu nyumbani, utazoea tu". Nilishangaa na nikakataa kauli yake eti "nitazoea'....there is no way in hell nitaozea kumwona mtu mzima hoyvoo, dudu nje akimwaga jojo kadamnasi mitaa ya Sinza.
Kisha kuanzia mitaa ya Mikocheni hadi Kawe ndo hapafai kabisa maana ni arufu mtindo mmoja!!! Maji taka hayazolewi na hata wakifanya kuzoa ni upuzi mtupu. Jamaa wanatoa uchafu ndani ya mtaro na kuuweka right at the top. In simple common sense, when it rains wont all this trash go right back into the drains jamani!!!? Nilipohoji nikaambiwa jama wanafanya hivyo maksudi ndo waweza kuhifadhi kibarua for the next day...Gaaadem!...Yaani Bongo kivyakevyake aisee. Kisha maeneo yenyewe nd'o barabara inayopitiwa na matasha na nikahooji tena kwani hawaoni hali ilivyo hususan kukinyesha. Nikaambiwa ukilinganisha na swala la kwamba jamaa wanaendesha mashangingi fuli-kipupwe, kwani wanaipata hio harufu?...najua ushapata jibu hapo!
Kisha ukiingia mjini wakati mambo ya umeme yanaleta kasheshe utajuta!...Kelele ya majenereta ni kama kuzimu! Yaani waliohujumu wananchi wa Tanzania kwa skendo za ishu za umeme hawakuwatenedea wananchi haki...but then again, who cares.
Kisha hapo Ubungo nitawaachia wenyewe wajadli. Kama Nyani alivyosema hapo juu watu wanaosindikiza abiria wanatozwa hela lakini
hujui hela inaenda wapi au ni ya nini. There is no official communication for that matter. Kisha kila mtu ni mwizi/tapeli hususan kipindi cha krismasi na shamrashamra za New Year. Utauziwa tikiti na jamaa kisha mkishamalizana na umekaa kwenye nafasi yako, anatokea konda mwengine anakudai hela zaidi. Ukijaribu kumtafuta aliyekukapa tikiti humuoni. Mwenzenu niligoma kushuka basi la Tanga kwa upuzi huo. Jamaa ilibidi nimmwagie kimombo na kumsuta mbaya sana. Tatizo langu lilkua usumbufu tu wa hawa matapeli. At the end of the whole saga tukawa washkaji mpaka kubadili namba za simu na niikapata kupiga tripu zengine mbili na jamaa hadi Mombasa na kurudi Dar.
Bongo tambarare wakuu...akili mukichwa!
The fact that he helped exposing this, is way better than what ur tryng to do right now i.e trying to discoureage the criticism.Then YOU do something. Sijasema ukuzoe ule uchafu but try to use your right as a citizen to exercise some agency...
I didn't discourage the criticisim, I was just giving further ideas for an effective change.The fact that he helped exposing this, is way better than what ur tryng to do right now i.e trying to discoureage the criticism.
HII ILIKUA PLAN YAO 2008/9I didn't discourage the criticisim, I was just giving further ideas for an effective change.
In my opinion ingekua bora zaidi kama ange endelea mbali kidogo in his critic.
|
| Kutokana na mahitaji ya huduma ya wasafiri kuongezeka, Halmashauri ya Jiji imepanga kupanua huduma za kituo hicho ili kiwe cha kisasa na kuendelea kutoa huduma bora zaidi. Umeandaliwa mpango wa biashara, (Business Plan) ambapo LAPF wataingia ubia na Halmashauri ya Jiji ili kuupanua mradi huo kwa kuanzia mwaka huu wa fedha 2008/09. Baadhi ya upanuzi utakaofanywa ni kujenga majengo marefu ya biashara zikijumuisha biashara ndogo ndogo, za kati na za daraja la juu, kuongeza huduma za mahoteli, vyumba vya malazi, ofisi mbalimbali na vituo vingine muhimu kama vya kubadili fedha n.k. <tbody> [TD="class: black_txt_noln"]Huduma mbalimbali zitolewazo kituoni hapo: |
kingine ni kidogo sana i mean so cheap
View attachment 44509
hii ndio inaongoza kwa sasa 100,000$..........ila kuna hii hapa chini ya kawaida tu nyeupe
View attachment 44510
hii ni 35 hadi 46,678$
na huu ndio ugonjwa wako SI
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 10yrs mi nakusubiri tu hapo kisa huna rangerover................nakupa 2yrs kama bado am sorry u lost me alreadyyeleuwiii..umeugusa mtima wangu bibie..just give me 10 years.
pole bwana nimejikuta tu nimeshachakachuaAminata umeanza kuchakachua thread na ndio nilikua nimedevelop genuine interest bwana! lol
kwanini hujampiga gumi la uso ?????? siki ingine mpige bonge la gumi then popote watakapokupeleka nishtue najuana na wana kibao watakutoa tena na elfu hamsini juu watakupa ya pole kwakukukamata...........next time just do it and text me immediatelyni jana tu nimetoka kumsindikiza mgeni wangu pale. jamaa kakomaa nimlipe kabla sijaingia, hata yule niliekuwa namsindikiza akadai nimlipie ada ya usindikizaji, nikamwambia kistaarabu kuwa huyu ndo anayesafiri mimi narudi. naona haelewi. nilipomlipa naona anataka kuongozana na mimi niendako, nikamwambia si tumeshamalizana mbona wanifata fata tena unataka nini? anadai anataka kunifahamisha zaidi. pumbavu zao. sijui kwanini sehemu kama izo wasiwekwe watu na professional zao kuliko kuokota okota watu tu mtaani
lo! aminatakwanini hujampiga gumi la uso ?????? siki ingine mpige bonge la gumi then popote watakapokupeleka nishtue najuana na wana kibao watakutoa tena na elfu hamsini juu watakupa ya pole kwakukukamata...........next time just do it and text me immediately
Eti eeh! kweli ilikuwa nimrushie gumi la shavu! yaani walikarahisha mbele ya mgeni wangukwanini hujampiga gumi la uso ?????? siki ingine mpige bonge la gumi then popote watakapokupeleka nishtue najuana na wana kibao watakutoa tena na elfu hamsini juu watakupa ya pole kwakukukamata...........next time just do it and text me immediately
ni jana tu nimetoka kumsindikiza mgeni wangu pale. jamaa kakomaa nimlipe kabla sijaingia, hata yule niliekuwa namsindikiza akadai nimlipie ada ya usindikizaji, nikamwambia kistaarabu kuwa huyu ndo anayesafiri mimi narudi. naona haelewi. nilipomlipa naona anataka kuongozana na mimi niendako, nikamwambia si tumeshamalizana mbona wanifata fata tena unataka nini? anadai anataka kunifahamisha zaidi. pumbavu zao. sijui kwanini sehemu kama izo wasiwekwe watu na professional zao kuliko kuokota okota watu tu mtaani
Watu wa nini wakati technolojia zipo zinazagaa mitaani hatutaki kuzitumia, hao watu waende kulima tusilie lie njaa kila wakati. Siku zote ukitaka nchi iendelee haitakiwi kuchekea chekea watu au kuendekeza urafiki. Inatakiwa system moja simple ya kila anayeingia langoni lazima adumbikize pesa sehemu lango linafunguka, na mtu akileta uhuni kamata peleka kwenye karakana za taifa akalime au akatengeneze sofa za maofisini. Lakini kwa vile ujanja ujanja ndiyo unawaweka watu dar, anaweza kukaa mwaka mzima, akipiga hesabu anajikuta kwa mwaka kapata TZS laki nne, wala hashtuki. Haa nchi itasonga mbele kweli hivyo?
mimi naona siku moja anyongwe mtu mzembe hadharani ndio nchi itasonga mbele