Ubungo: Boniface Jacob amejiingiza kwenye kazi ya bodabada

unaakili za ovyo sana,mwambie mkumbo aule uprofesa wake kama ni chakula, elimu ya bongo ni white collar job,bora bodaboda
 
Mkuu umenena kwa hisia Sana, sasa kama mtu anabomoa makazi eti hawakumpigia kura kwanini asingewahurumia watoto wadogo waliokua wakiiishi na wazazi wao kwenye nyumba hzo?
 

Kinachokuhusu ni nini?
 
Umeongea mengi lakini usimjudge mbowe kwamba ni mlevi,mtu anavunjwa ugoko utadhani mnavunja miwa halafu mnasingizia ulevi kama siyo unajitia dole mwenyewe ni nini,kubenea hajafukuzwa amejishtukia tu tangu njama zake chafu na Komu zivuje akajishtukia kwamba kamati haitampitisha kugombea akaona bora ajiondokee,sometimes ongea facts siyo kushambulia watu bila ushahidi pimbi wewe
 
Post ina siku mbili comments 28 ndio ujue umeandika undezi
 
Profesa!! Tena wa ccm? Hamna profesa hapo ni jina tu. Hao ni wale wale walamba viatu vya mfalme. Heri kuwa bodaboda.
 
Jamaa anajua kucheza na akili za watu vizuri sana, binafsi namkubali sana
 
Mkuu, umeandika kwa uchungu sana, na huu ndio ukweli halisi
 
Kwahiyo dogo ndio "anauchungu"?kawa diwani miaka 10 ubungo hajafanya chochote
"Toshekeni nyie CCM.. " mkuu umeandika kwa hisia sana, ila umeandika ukweli mtupu. Kitila hana uchungu wowote na wanaubungo zaidi ya kuhangaikia namna ya kutunisha account yake ya benki kwa ajili yake na wale wanaomtegemea kupitia ubunge na uwaziri.
 
Boda boda anatufaa,amefanya mengi mnooooo,pili jasiri mnooooo,tatu anajua kusimamia na kutekeleza,tunamuandaa kwa 2025 urais,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…