Ubungo: Boniface Jacob amejiingiza kwenye kazi ya bodabada

Boniface Jocob Aliyekua diwa diwani kata ya Ubungo na Meya wa Manispaa ya ubungo amejiingiza kwenye kazi ya bodabada baada ya kustaafu kazi yake. Kwa sasa ni mgombea ubunge kupitia CHADEMA anakutana na Profesa Kitila Mkumbo wa CCM pamoja na Saed Kubenea wa ACT.

Lakini mchuano mkali inategemewa kua kati ya Profesa wa CCM na Bodaboda wa CHADEMA, Nani zaidi?
unaakili za ovyo sana,mwambie mkumbo aule uprofesa wake kama ni chakula, elimu ya bongo ni white collar job,bora bodaboda
 
Nashukuru kwa kuliona hili. Makazi ya watu walibomolewa bila hata fidia. Nililazimika kupokea familia mbili nyumbani kwangu tukaishi zaidi ya miezi sita huku Kibaha. Walibomolewa kibabe sana na hasara kubwa walipata. Alafu manina mtu anasema anataka kura yako. yaani ili kuondoa fedheha pigeni hata mishale hao sisiemu. Manina zao, yaani kitila anataka kuletamatako yake hapo ubungo yawasaidie nini?

Angalia hata jengo lililokuwa linatumiwana Tanesco hapo ubungo, lilibomolewa kwa uonevu tu hata barabara yenyewe haijafika hata kidogo hata kugusa eneo tu haijafika.
Mkuu umenena kwa hisia Sana, sasa kama mtu anabomoa makazi eti hawakumpigia kura kwanini asingewahurumia watoto wadogo waliokua wakiiishi na wazazi wao kwenye nyumba hzo?
 
Boniface Jocob Aliyekua diwa diwani kata ya Ubungo na Meya wa Manispaa ya ubungo amejiingiza kwenye kazi ya bodabada baada ya kustaafu kazi yake. Kwa sasa ni mgombea ubunge kupitia CHADEMA anakutana na Profesa Kitila Mkumbo wa CCM pamoja na Saed Kubenea wa ACT.

Lakini mchuano mkali inategemewa kua kati ya Profesa wa CCM na Bodaboda wa CHADEMA, Nani zaidi?

Kinachokuhusu ni nini?
 
Umeongea mengi lakini usimjudge mbowe kwamba ni mlevi,mtu anavunjwa ugoko utadhani mnavunja miwa halafu mnasingizia ulevi kama siyo unajitia dole mwenyewe ni nini,kubenea hajafukuzwa amejishtukia tu tangu njama zake chafu na Komu zivuje akajishtukia kwamba kamati haitampitisha kugombea akaona bora ajiondokee,sometimes ongea facts siyo kushambulia watu bila ushahidi pimbi wewe
Mkumbo asitegemee kura kutoka Ubungo.
Akafundishe Chuo kikuu siasa awaachie wanasiasa wenyewe.
CCM wameharibu sana nchi hii.
Maprofesa wanakimbia taaluma zao kwa sababu ya kutafuta mishahara minono wanasiasa wa CCM waliyojiwekea ili warithishane utawala na marafiki zao.
Wasomi kwenye taaluma zao mishahara ni midogo na hawana heshima kubwa kutokana na sheria kuwapendelea wanasiasa hasa wa CCM.

Kitilia Mkumbo kama watanzania wataamua kupinga dhulma na kuwakataa watu wenye dhulma kutumia kodi zao asitegemee kamwe kushinda uchaguzi Ubungo.

Hata hivyo siasa za hovyo za Mlevi Mbowe zimesababisha Kubeniea akajitoa Ndani ya Chadema na sasa watagawana Kura na Jakob ,jambo litakalosababisha CCM ipate unafuu japo kwa kura za jumla Mkumbo hatashinda.

Tangu lini CCM ikawapenda watu wa Ubungo na Kimara kama sio kuwatumia tu kupata madaraka na kwenda Kujimwambafai Kule Iramba?
Anachotafuta Mkumbo ni namna ya kupata uwaziri na kula kodi za watanzania lakini hana mapenzi na wana Ubungo . Huo ndio ukweli na watu wa Ubungo wasikubali kumchagua MTU toka Chama cha Kibaguzi kinachowagawa watu kwa namna mbali mbali kisa ni madaraka.
Amewadhulmu watu kwenye sanduku la kura na sasa wanatoa lugha za kibaguzi.
Hakuna haja ya kuwachagua CCM hasa wabunge na madiwani.
Tangu Lini Mkumbu akawa mtetezi wa watu wa Ubungo. Tuache tamaa.
Toshekeni nyie CCM siku moja mtaagwa tu kwa mbwembwe lakini hamtarudi Tena. Mkiyajua hayo mtajifunza kuwa wanyenyekevu na watenda haki. Mtajenga majumba na hamtayakaa mana Mungu hapendezwi na dhulma.
Tunataka uchaguzi wa haki na amani na Uhuru ili tuone nani moyo wa kuwapigania wananchi kwa namna yoyote bila kujali maslahi.
 
Profesa!! Tena wa ccm? Hamna profesa hapo ni jina tu. Hao ni wale wale walamba viatu vya mfalme. Heri kuwa bodaboda.
 
2449652_KUMBE_WAPO_TAYARI.__504_X_640_.jpg
 
Boniface Jocob Aliyekua diwa diwani kata ya Ubungo na Meya wa Manispaa ya ubungo amejiingiza kwenye kazi ya bodabada baada ya kustaafu kazi yake. Kwa sasa ni mgombea ubunge kupitia CHADEMA anakutana na Profesa Kitila Mkumbo wa CCM pamoja na Saed Kubenea wa ACT.

Lakini mchuano mkali inategemewa kua kati ya Profesa wa CCM na Bodaboda wa CHADEMA, Nani zaidi?
Jamaa anajua kucheza na akili za watu vizuri sana, binafsi namkubali sana
 
Mkumbo asitegemee kura kutoka Ubungo.
Akafundishe Chuo kikuu siasa awaachie wanasiasa wenyewe.
CCM wameharibu sana nchi hii.
Maprofesa wanakimbia taaluma zao kwa sababu ya kutafuta mishahara minono wanasiasa wa CCM waliyojiwekea ili warithishane utawala na marafiki zao.
Wasomi kwenye taaluma zao mishahara ni midogo na hawana heshima kubwa kutokana na sheria kuwapendelea wanasiasa hasa wa CCM.

Kitilia Mkumbo kama watanzania wataamua kupinga dhulma na kuwakataa watu wenye dhulma kutumia kodi zao asitegemee kamwe kushinda uchaguzi Ubungo.

Hata hivyo siasa za hovyo za Mlevi Mbowe zimesababisha Kubeniea akajitoa Ndani ya Chadema na sasa watagawana Kura na Jakob ,jambo litakalosababisha CCM ipate unafuu japo kwa kura za jumla Mkumbo hatashinda.

Tangu lini CCM ikawapenda watu wa Ubungo na Kimara kama sio kuwatumia tu kupata madaraka na kwenda Kujimwambafai Kule Iramba?
Anachotafuta Mkumbo ni namna ya kupata uwaziri na kula kodi za watanzania lakini hana mapenzi na wana Ubungo . Huo ndio ukweli na watu wa Ubungo wasikubali kumchagua MTU toka Chama cha Kibaguzi kinachowagawa watu kwa namna mbali mbali kisa ni madaraka.
Amewadhulmu watu kwenye sanduku la kura na sasa wanatoa lugha za kibaguzi.
Hakuna haja ya kuwachagua CCM hasa wabunge na madiwani.
Tangu Lini Mkumbu akawa mtetezi wa watu wa Ubungo. Tuache tamaa.
Toshekeni nyie CCM siku moja mtaagwa tu kwa mbwembwe lakini hamtarudi Tena. Mkiyajua hayo mtajifunza kuwa wanyenyekevu na watenda haki. Mtajenga majumba na hamtayakaa mana Mungu hapendezwi na dhulma.
Tunataka uchaguzi wa haki na amani na Uhuru ili tuone nani moyo wa kuwapigania wananchi kwa namna yoyote bila kujali maslahi.
Mkuu, umeandika kwa uchungu sana, na huu ndio ukweli halisi
 
Kwahiyo dogo ndio "anauchungu"?kawa diwani miaka 10 ubungo hajafanya chochote
"Toshekeni nyie CCM.. " mkuu umeandika kwa hisia sana, ila umeandika ukweli mtupu. Kitila hana uchungu wowote na wanaubungo zaidi ya kuhangaikia namna ya kutunisha account yake ya benki kwa ajili yake na wale wanaomtegemea kupitia ubunge na uwaziri.
 
Boniface Jocob Aliyekua diwani kata ya Ubungo na Meya wa Manispaa ya Ubungo amejiingiza kwenye kazi ya bodabada baada ya kustaafu kazi yake. Kwa sasa ni mgombea ubunge kupitia CHADEMA anakutana na Profesa Kitila Mkumbo wa CCM pamoja na Saed Kubenea wa ACT.

Lakini mchuano mkali inategemewa kuwa kati ya Profesa wa CCM na Bodaboda wa CHADEMA, Nani zaidi?
Boda boda anatufaa,amefanya mengi mnooooo,pili jasiri mnooooo,tatu anajua kusimamia na kutekeleza,tunamuandaa kwa 2025 urais,
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom