Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,241
- 1,472
vinega bwana mkishavuta madude yenu huwa mnaona Sugu ndio rais...we udhani watu wa Mbeya wanampenda basi,si wanamuonea huruma tu ataishije bila ubunge..
Hata sijaelewa una maanisha nini.
vinega bwana mkishavuta madude yenu huwa mnaona Sugu ndio rais...we udhani watu wa Mbeya wanampenda basi,si wanamuonea huruma tu ataishije bila ubunge..
Sugu ana cheo gani kwenye chama cha Chadema? na je Chadema haina uongozi Mbeya wa kufanya harakati za kisiasa? haya mnayoandika hapa huwa mnafikiri kabla ya kuandika au mnaandika ndio halafu mnafikiri?Kuna malalamiko ya hapa na pale ambayo anaweza kuyarekebisha ,kwamba ofisi anafunga muda mrefu na kubandika karatasi nje eti yuko nje kikazi,mtu wa kumsaidia mbunge ni msanii mwenziwe na muda mwingi ofisi inafungwa,na bungeni eti anaongea usaniii tuu hatetei watu wa mbeya ,halafu la yeye kuachia chama mkoa kukijenga yeye akiwa nje zaidi ya mkoa, akitafuta credit za kisiasa kwa viongozi, nadhani akitulia haya mambo yanaweza kunyooshwa tu na yeye mwenyewe bado upepo upo kwake lakini japo manung'uniko yanakwenda kwa kasi ya moto wa upepo