Ubunge Iramba Magharibi


Wee mwanakidagu acha kumjambi.....a Mheshimiwa wa magamba, je mnajua anabebwa na magamba mangapi? kweli mtawaweza waliomweka hapo?
 


Mayu tuwasiliane kwa karibu ili tukamwondoe yule fataki mkuu wa mafisadi pale jimboni 2015.
cdm lazima ichuke hilo jimbo 2015, tupo pamoja mayu.
 
Hata wenye mbwa nilishawatoa ulimi nje atasumbua mbwa. Siasa za jimbo nitakuja kufanya kampen siku tatu tu hata aje slaa tugombee wote iramba. Hivi vya humu ambavyo hata ID vinashindwa kutoa hata kivuli changu skafu yangu itashinda nikiiweka ipigiwe kura. Ni kama vile 2010 hakukuwa na mgombea wa chadema hamjamuuliza?
 
Mkuu Mwigulu don't panic kijana kagusa tuu sidhani kama ametonesha kidonda,hizo ni salaamu zenu maghamba, sijui mtajificha wapi watu wakifundishwa waelewe nani mafisadi wa kungolewa??????? Ila ndugu yangu ya Arumeru wewe ni shahidi, watu siku hizi ni waelewa kuna vijana mliowatelekeza kwa elimu kuanzia msingi, sekondari hadi vyuo hawana kazi, sijui mtawadanganya vipi????Nilisikia wewe ulishikwa Arumeru ukigawa fedha za rushwa makanisani ni kweli???? Kijana na makamanda shukeni Ilamba kama nilivyo sikia juzi Arusha vijana wakiwania Monduli kazi ya kina Mwigulu imefikia ukingoni!!!!!!VIVA CDM!!!!

 
Nenda kawakomboe jirani zangu na watani zangu kamanda.
Mi ningetangaza nia Hanang, lakini kuna jembe pale aliyechakachuliwa Rose Kamili, nitakachofanya ni kuunga mkono katika harakati zake.
Ila weka details zako full ili tukujue mapema comrade
 


Nini kimetokea Arumeru Mashariki Mwigulu?

Ningekuwa mimi ni wewe (kwa moyo safi kabisa nasema haya) ningeachana na kutoa majibu ya hovyo na yenye kumlenga mtu mmoja mmoja (personal attacks). Ningekaa kitako na kutafakari kwa makini ili nijue ni kwa nini watanzania wamekarisika kiasi hiki?

Kwa hali halisi ya sasa, uchaguzi ungefanyika kesho ni majimbo machache sana ambayo yangeenda CCM, machache sana Mwigulu na sina hakika kama jimbo lako ni salama kihivyo. Unayo miaka 2 na ushei kurekebisha ili mambo uepuke kibla. Ni juu yako kama mwanasiasa kijana kuendesha siasa zinakubalika au kuendelea na business as usual. Nimalizie, achana na mipasho.
 
Uchaguzi wa 2015 ni ngoma nyingine Mkuu.
CDM hata wakisimamisha mende na bendera tu anashinda.
Hiyo skafu yako uliyopewa na babu haina nguvu Mbele ya Mungu wetu.
Subiri uone moto wa chadema
 
Iramba hakuna mbunge Mkuu, kuna mzinzi fulani hivi.
 
Sina hata chembe ya mashaka. Yule aliyesema nilikuwa nagawa pesa makanisani hilo sio kweli na lilikanushwa muda huo na vyombo husika. Mimi nilikwenfa kusali tu. Kuhusu usalama wa jimbo take it from me HATA KAMA CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA MAGHARIBI
 
Mwigulu wewe sio malaika mpaka useme hivo,unadhani wana iramba watakuwa wajinga mpaka lini? Mimi sisemi mengi ila kama Mungu atanipa kibali cha kufika 2015 nitashuhudia hayo yote.
 
well said Nchemba
 
Mkuu Mwigulu pole saana lakini watu siku hizi wameelimika na wanazidi kuelimika zaidi, siasa za longolongo hazina nafasi tena Tanzania!!!!! Nadhani umeelewa kwa matokeo ya ARUMERU KUWA FEDHA SIO KILA KITU watu wamechoka na longolongo!!!!!!!! Be realistic man sehemu au mahali ulipo hapakufai, labda unangojea kuwa kada wa chama pinzani kwenye bunge 2015 na hatutahitaji mafisadi period!!!!!

 
Kaka hongera kwa kujiamini na kujitokeza mapema, mimi ningekukumbusha kuwa CDM ni chama cha kisomi, hivyo pitia maandiko mbalimbali ya chama ukianzia na katiba pamoja na Ilani ya mwaka huu kwani ilani ijayo itategemea kwa kiasi cha kutosha ilani iliyopo sasa. Pili sijui kama upo Iramba au sehemu nyingine ya Tanzania. Jaribu kutembelea jimbo uone matatizo na fursa zilizopo ambazo unaweza ukawaongoza wanailamba mkatatua matatizo yenu. Lijue jimbo, litembelee jimbo, ongea na wanajimbo na hasa vijana na akina mama. Na mwisho kabisa mshirikishe Mungu katika mipango yako. Yanawezekana
 
Mwigulu mdogo wangu sio kwamba nakuchukia la hasha.Ubunge wako umeharibiwa na hicho cheo walichokupa CCM.Umejisahau sana mpaka umekuwa unatumika vibaya eidha wewe mwenyewe ukijua au laa.Bahati mbaya umeshaiga wale vizee ndani ya Chama chako wanaodhani hii bado ni dunia ya 1980's kwamba upatikanaji wa habari haufiki hadi vijijini na kuwa CCM ni chama cha zidumu fikra.Unajidanganya. Wa Iramba wanajua kila ulisemalo au ufanyalo kila siku iwe Igunga,Arumeru au DSM. Na wao hawakuchagua mbunge wa scandal au mropokaji bali wa kuwaongoza katika demokrasia ya kweli na maendeleo. Pia wanafatilia wafanyayo wabunge wengine vijana (sina haja ya kuwataja)ktk majimbo yao na kulinganisha na uwakilishi wako.
Kwako wewe (-) ni nyingi kuliko (+) katika ubunge. Jaribu kazi nyingine kuitumikia Iramba Bro,but Ubunge sio.
 

Ukiwa bip watakupigia Mwigulu.
 

Hayo maneno hata kwenye kanga yapo.wanakusalimia machalii wa Leganga.
 

Nchemba PA @ work.
 


Jitambulishe zaidi mayu ili tufanye mchakato wa nguvu tukamwondoe yule mzinzi 2015
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…