Ubunge CHADEMA jimbo la Geita laumiza vichwa watia nia

Lutubija

Senior Member
Dec 27, 2014
125
10
ubunge jimbo la Geita kupitia chadema laumiza vicha watia nia nijimbo ambalo hadi sasa linawatia nia zaidi ya kumi ila kunabaadhi niliopata majina yao japokua ni jina moja moja wakwanza ndg. MANGILIMA wa pili ni ndg OPULUKWA wa tatu ni ndg MISALABA wa nne ni ndg SUKAMBI wa tano ni ndg JAPHETY wa sita yule anaelitetea jimbo hilo aliwahi kugombea 2010 anaitwa bwana ROGERS LUHEGA wengine bado sijapata majina yao
 
Yeyote atakaye shinda tutampa kura...ila Nina uhakika kwa Rogers hao makamanda wengine wataunga tela tu..wasije unda makundi wakishindwa watoe support kwa mwenzao
 
Nina hakika Mangilima Joseph hatagombea, Mangilima atamuunga mkono Rogers Ruhega tu, hao wengine sina historia nao but vipi kuhusu kamanda Mawazo, si ndio mwenyekiti wa CDM huko!? Au records zangu hazipo sawa?
 
Katika kipindi ambacho chama na wanachama wa Chadema wanahitaji umakini na busara ya hali ya juu,ni kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa mwaka huu..karibu katika kila kata na kila jimbo kutakuwa na watia nia wengi mnoo na wasipokuwa na busara wataunda makundi na migogoro itakayokuwa na athari sana
 
Hao binadamu wawili MANGILIMA aka master na ROGERS wako vzr mno yoyote kati yao magamba hayakatizi,jembe lingime MAWAZO liende Busanda
 
inasemekana hawa watia nia wapya wamwaga hela za kutosha hadi mida hii hasa OPULUKWA NA MISALABA kwahiyo wako tayali kuwanunua wapigakula hususani viongozi wa kata na safu nzima ya JIMBO je mnatalajia nini
 
Hapo kichwa ni kimoja tu, Rogers Ruhega ndo mpango mzima cause mambo anayoyafanya hapo kwa ajili ya kukijenga chama ni makubwa na ni wazi kwamba yeye anasimama kuwa ndio mtu pekee wa anayeweza kuipeperusaha vizuri bendear ya chama.Mangilima kama ni yule wa GGM ninayemjua mimi hana sifa za kuwa mgombea wa hilo jimbo kwa kuwa hajishughulushi sana na chama wala hana mchango wowote katika kuendeleza, kukikuza au kutangaza sera za chama.
 
Mungu haepushe makundi ndani ya chadema,watakaoshindwa wawasapoti wengine,huu ni mwaka wa aibu kwa ccm,
 
Back
Top Bottom