Ubunge Afrika Mashariki: Majina ya wagombea wa CHADEMA na CUF yakataliwa na msimamizi wa uchaguzi

Eti ndio wanataka wapewe Dola hao ktu kdogo 2 hcho kmewashinda ss mkipewa Dila mtu m1 siatajaza ndgu zk wote ple White hous haibu sana kwa chma kkubwa cha Upnzani km hcho kfanya vtu vyaaibu 2020 Hapa kaz Tu
Umeishia darasa la ngapi? Tatizo la CCM ubashite mwingi, kwa mfano wewe inaonekana unajadili jambo ambalo hata hulielewi!
 
Kigezo cha jinsia kinasema angalau theluthi moja 1/3 ya wajumbe 9 ioneshe uwepo wa jinsia zote mbili. Je, theluthi moja 1/3 ya wajumbe 2 in ngapi? Hiki kigezo kitahusu vyama vya upinzani kwa idadi ya wajumbe waliopangiwa?
 
CHADEMA
form ya maombi ya uchaguzi haipo

form inayonesha waombaji haipo ( Hana alingia nayo yeye mawili tu)

form inayonesha matokeo ya kura haipo (Itakuwepo vipi wakat mbowe kawaptisha yeye wawil)

Chama cha jamiiforums,Istagram,facebook, chama xha Tundu na mbowe hawatambui hata sheria duuh Aibu sana.

Wagombea wamepitishwa kiubabe na mwenyekiti cha kudumu bwana Mbowe
Nanyie nashindwaga kuwaelewa mala utasikia chama cha wachaga haya mala ooh chama cha Tundu na mboye
Kwa taarifa yako Mboye mchaga na Lissu ni mnyaturu
Masha msukuma na Wenje mjaruo
Hachen hoja baguz za ukabira
 
Thelethi ya nafasi mbili ni watu wangapi? Kupata theluthi ya mtu kiwango cha chini ni watu watatu! Kwa hiyo chadema wangepewa nafasi tatu! Hakuna namna unayoweza kupata theluthi ya watu wawili! Labda kanuni ingesema nusu iwe me na nusu ke! Hapo spika tungemwelewa!
 
Kuna shida sana kwenye hiyo ofisi za serikali,hii watakuwa wanafanya nakusudi ili kuidhalilisha chadema.
Sheria inasema at least one third of the elected members shall reflect either gander,hii 1/3 inayosemewa hapa ni elected members ambao tayari wamisha pitishwa kuwa wajumbe sio elected member kwenye vyama husika.
Hii 1/3 ni sheria ya the east African legislative Assembly election Act,2011 haihuyu vyama vya sia sa bali wajumbe ambao wamechaguliwa na kupitishwa na bunge ndio 1/3 kati ya wabunge 9 kuwe na gender
Ebu tasfiri kdgo
 
Nafasi zinazotakiwa ni 9 na 1/3 ya 9 ni 3, hao mbona watapatikana kutoka ccm! Ccm wanachotaka ni kumtoa mmoja kati ya Wenje na Masha! Nadhani Masha ndo hawampendi.
 
MOTOCHINI: Wewe si unafahamu? Niambie ndugu. Hivi hiyo kanuni inasema wagombea au ni lazima? Maana yaweza tokea pasiwepo mgombea wa jinsia ya kike. Hapo kanuni inasemaje? Usiseme tena nikamuulize Tundu Lissu, maana mnaonekana kujifanya kimbelembele cha kujua kila kitu ila mkiulizwa mkielezee manakuwa wakali.
Kamulizeeee nani ?
 
a499360ff91307ceb2b57f9a139943d2.jpg
 
Sisi huyu huyu Mbowe anayewaumiza vichwa CCM hawalali kutwa kucha kuhangaika na Chadema ndo tunataka huyo huyo ili awakomeshe. Mbowe keep going wanachama tuko na wewe. Hii ni vita
 
Back
Top Bottom