Ubunge 2015 Magu, Renatus Pamba

Ubunge 2015 Magu, Renatus Pamba

Mkopa bia bar za sinza kisa diwani...ptuuuh hafai na hata huo udiwani sinza hatakaa aupate tena
nilikutana naye mara ya kwanza The Sun nikambiwa huyu ndo jirani, kadri tulivyoeendelea kukaa niligundua huyu jamaa ni hopeless kabisa
 
Ni DR.FESTUS LIMBU aliyekuwa Naibu waziri wa maji na baadaye fedha wakati wa mkapa! anavisirani vya ajabu huwezi amini kama ni PHD holder, kwenye kambi yake ya 2015 anategemea kuwa Waziri wa Mambo ya nchi za Nje endapo watashinda! mi simo
 
Daaaaaa" Tunahitaji mtu anayeifahamu vema Magu na matatizo yake, si vibaya tukiweka na kigezo cha uzoefu wa kuishi Magu angalau experience isiyopungua miaka 5 mfulululizo, mana wapo wanaojiita wa Magu kumbe wana miaka 20 hawajaiona Magu na hawafahamu matatizo yanayoikabili Magu, tunamhitaji anayeijua vema Magu kuanzia Mahaha, Ng'hwenge, Isolo Igombe pitia Bukingi njoo hadi Ng'wamagoli, Iponyamadaso, vuka Kabila nenda hadi Nkola Nhabuko, urudi Bugatu, Buhunda, zunguka Ng'wabalatulu, rudi Iseni njoo Mwamibanga, Buhumbi, pita Lugeye, Ngashe nenda hadi Lutale Kisesa geuka tena nenda Welamasonga geuka tena nenda hadi Ng'wanekeyi Ng'wamabanza"" Afahamu angalau kwa uchache mana huko ndo shida zimewajaa kwelikweli" asije kwa gear ya kusema eti nafahamu matatizo ya Magu ni Maji"" aaah kuna matatizozaidi ya hayo" " KAZI KWAKE MWENYE KUHITAJI JIMBO LA MAGU"
 
bush 046.JPG"NYUMBA MLANGO NA KUFURI" Haya ndiyo Maendeleo aliyoleta Limbu na Chama chake kwa wananchi wa Magu" "TUNAMTAKA MBUNGE ATAYEKUWA NA SULUHISHO KWA MATATIZO KAMA HAYA"
 
Nakupongeza sana Madagatugije.unalifahamu sana jimbo la magu,
Nikweli kabisa maeneo ya Mahaha nilishafika kunamateso makubwa sana. Ila kunatetesi kuwa kwa sasa kunakijana wa hapo Mahaha ndo katangaza nia Na akaitwa makao makuu ya kandaMWANZA
 
tuwekee maelezo yake hapa ili tuendelee kuwatathmini kwa pamoja mkuu..

Nakupongeza sana Madagatugije.unalifahamu sana jimbo la magu,
Nikweli kabisa maeneo ya Mahaha nilishafika kunamateso makubwa sana. Ila kunatetesi kuwa kwa sasa kunakijana wa hapo Mahaha ndo katangaza nia Na akaitwa makao makuu ya kandaMWANZA anaitwa Ngekele S.Thomas Na watu wamempokea sana.
 
hata lema alipigiwa upatu namna hii kumbe boya chadema mtu anayeongea kwa hasira hadi mishipa ya koo na shingo kusimama ndio anaitwa mwana siasa bora.r.i.p chadema

Hivi mara ngapi mmesema R.I.P Chadema mara ngapi?
Mbona Cdm inachanja tu mbuga.
 
Pamba huyu diwani wa sinza ana onba omba bia kwenye bar sinza ana madeni kuliko serikali..akiwa mbunge si ndio itakuwa balaa! Chadema acheni utani
 
Ngwasanyiwa wa Magu aliyepambana na Cheyo Mzee males a yuko wapi?
 
Back
Top Bottom