stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
ebu nitajie diwani wa ccm jembe unayemjua aliyekua sinza
Bora hata mzee Mwakininda aliyetoka, tukamtegemea jamaa ataleta maendeleo lakini kawa mtu wa Good Time sana ni mtu wa bieree tu(Ni personal issue) lakini angekuwa anatimiza wajibu wake tungeona sawa.