Ubunge 2015 Magu, Renatus Pamba

Ubunge 2015 Magu, Renatus Pamba

Joined
Oct 25, 2013
Posts
63
Reaction score
262
Mh Renatus Pamba diwani wa kata ya Sinza (CHADEMA), halmashauri ya mansipaa ya Kinondoni, ni kijana mchapakazi mwenye maono na ari ya kuleta mabadiliko kwenye jamii, yuko tayari kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi wa Jimbo la Magu kama mbunge wao kuanzia 2015.
Pamba.jpgNi katika mfululizo wa kuwaletea orodha ya vijana shupavu wanaopewa nafasi kubwa ya kuingia bungeni 2015, unaweza kusema chochote kwa namna unavyomfahamu wewe...
nawasilisha.........
 
Anaweza kama akiamua kuacha utoto na asidhani u-chadema ndio unaoumpa ubunge bali uwezo wake kiakili, na ukomavu kisiasa then chama kije kumbeba baadae. Najua atakuwa na wapinzani wengi ndani na nje ya chama pale Magu, ajipange sawasawa. Vinginevyo, ningemshauri aendelee kupata udhoefu kupitia udiwani tena kwani Magu hawana hasira waliozokuwa nazo wapiga kura wa sinza kwa Mwaking'inda
 
ni vizuri ukamweleza mapungufu yake ili kama ni kujisahihisha basi afanye hivyo kuliko kusema tu UTOTO, fafanua kidogo hayo yanayomfanya aonekane na utoto....
 
hata lema alipigiwa upatu namna hii kumbe boya chadema mtu anayeongea kwa hasira hadi mishipa ya koo na shingo kusimama ndio anaitwa mwana siasa bora.r.i.p chadema
 
Ni heri akimbilie Magu amabapo hawamjui coz Sinza pamemshinda hata akijaribu 2015 hawezi kupita labda apate ngekewa kama ya 2010
 
Vizuri ila kwanini asiendeleze libeneke hapo hapo Kinondoni ambako ameweza kushika mpaka Udiwani alafu kwa Magu kipaji kingine kingeandaliwa na yeye akatoa support
 
Tumekusimamisha unanachama kuanzia sasa kwa kutumia ID fake kujitangaza..........
 
Ni heri akimbilie Magu amabapo hawamjui coz Sinza pamemshinda hata akijaribu 2015 hawezi kupita labda apate ngekewa kama ya 2010

viroba vya jua kali vinakusumbua.kiufupi hueleweki!
 
hata lema alipigiwa upatu namna hii kumbe boya chadema mtu anayeongea kwa hasira hadi mishipa ya koo na shingo kusimama ndio anaitwa mwana siasa bora.r.i.p chadema

Unajifariji kwa zile 4:0 siyo!
 
anaishi Sinza Dar es Salaam halafu unataka akagombee Magu?
 
njoo tu kamanda,jimbo lipo wazi.aliyepo wananchi walishamchoka hata 2010 alitangazwa kwa msaada wa policcm.ameshindwa hata kuitisha mkutano hata 1 tu kuwashukuru wapiga kura kwa kuhofia kuzomewa.yupo bungeni kuchapa usingizi hawasemei wapiga kura wake wanaosumbuliwa na matatizo lukuki likiwemo la maji yaliyo km 3 tu kutoka ziwani.
 
Nani kamwambia kutangaza kugombea ubunge nje ya vikao vya chama lazima tumwadhibu na chama kimekosa imani naye kwa kuzungumza mambo ya chama kwenye mitandao.
 
njoo tu kamanda,jimbo lipo wazi.aliyepo wananchi walishamchoka hata 2010 alitangazwa kwa msaada wa policcm.ameshindwa hata kuitisha mkutano hata 1 tu kuwashukuru wapiga kura kwa kuhofia kuzomewa.yupo bungeni kuchapa usingizi hawasemei wapiga kura wake wanaosumbuliwa na matatizo lukuki likiwemo la maji yaliyo km 3 tu kutoka ziwani.
Kwani mmbunge yeye ni idara ya maji mpaka atuhumiwe kwa ishu ya maji.
 
wewe unajiona mzima? au ndo mambo ya vichaa kuwaona timamu kuwa ni vichaa isipokuwa yeye tu.

Teh teh teh!Lema zombies bana....By the way msalimieni shujaa wenu mrushia watu matofari!

CV ya Mheshimiwa Lema:

Secondary School Education-Form Two

Experience:

Occupation-Armed Robbery

He is supposed to be your hero!
 
Jamaa Sinza kazingua sana hakuna jipya alilofanya ni bora angeendelea yuleyule Mzee Mwakininda...Sinza hata angegombea tena angechora chini.
 
Back
Top Bottom