nyembeason
Member
- May 4, 2009
- 44
- 21
Wadau, mnamo tarehe 26/06/2016, gari ya BOT, SUSU 36797 iliyokuwa ikiendeshwa na Remijias Brasius, ILIMGONGA NA KUMUUMIZA MTOTO WA MIAKA 15, aishiye maeneo ya Mkundi, mkoani Morogoro. Dereva alijisalimisha polisi na kesi ilifunguliwa, ingawa kwa mbinde. Hukumu ilitolewa na mhalifu akalimwa faini ya 30,000/- au kwenda jela mwaka mmoja. Alilipa faini.
Binti huyu, aishiye na mama tu aliendelea na matibabu kwa msaada wa wasamaria wema. Hali yake kwa sasa ni mbaya. Mguu umevimba na familia haiwezi kulipa gharama za matibabu yake. Tumefika Chama cha Mawakili Tanzania na kupewa wakili. BIMA wameandikiwa barua/demand letter na hawataki kulipa.
Maisha ya huyu mama na motto wake ni duni sana.
Wadau, tumsaidie huyu binti apate matibabu ili aweze kupona na kuendelea na shule.