mbishi sana
Senior Member
- May 10, 2013
- 102
- 74
Pole na kazi nzito ya kulisimamia jiji la Dsm,
Nimesikia taarifa yako kwa vyombo vya habari ukiwaasa watu wa boda boda na raia wafate sheria za barabarani.
Kwamba makusanyo ya pesa nyingi za faini siyo sifa bali ni watu hawako tayari kufata sheria za barabarani.Mnafanya hivyo ili watu wafate sheria
Kamanda kumekuwa na tatizo la viongozi wa hii nchi na wafanya kazi wa taasisi za serikali wanaotumia STK, STJ, SU, nyie viongozi wa polisi wanajeshi na wengineo kutofata sheria za barabarani.
Nilishuhudia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, huyu ni mkuu wa masuala ya usalama wa mkoa akitanua barabara ya baharin kule hospitali ya Agha Khan. kuna viingozi kila siku kazi yao ni kupita barabara mpya za magari ya mwendo kasi kutokea ubungo kwenda posta asubuhi.
Ukifika magomeni au jangwani utashangaa magari ya serikali yaliopita barabara za mwendo kasi yanaachwa na magari binafsi kama siyo mwanajeshi au kiongozi wa polisi lazimaa ulipe faini.
Hiv hili suala mbona sikusikii ukiliongelea? Ianawezekanaje hawa viongozi badala ya kuwa mfano barabaran wao ndio wanakuwa wavunjifu wakubwa wa sheria za barabara?
Si waamke mapema wawahi makazini wale wenye haraka basi waombe eskoti za polisi ziwasafiahie njia!!
Sijaweka picha leo mkuu ila ikibid nitaomba wadau humu wanisaidie kwa maeneo watakayo kuwepo wapige pichaa waje kujazia katika huu uzi.
Hamna aliye juu ya sheria. Embu wapeni meno hawa polisi barabaran maana kwa kauli zenu wataweza kulisimamia hili kwa ufasaha.
Naomba kuwasilisha