Ubora wa vyuo vikuu Tanzania

Ubora wa vyuo vikuu Tanzania

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Wanajamvi kwa mda mrefu sasa kumekua na hoja ya ubora wa elimu ya vyuo vikuu bora hapa Tanzania
Kuna mwana member mwenzetu hapa anaitwa MPIGA MSULI,kazi yake yeye ni kuponda vyuo binafisi!!
Leo tena kaanza kutoa kashifa kwa (IFM)
Hv wewe mpiga msuli ni chuo gani bora kwako!!!
 
vyuo vyetu kwa kweli havina ubora unaotakiwa, tukubali ukweli ili tuweze kurekebisha mapungufu yaliyopo.
 
Back
Top Bottom