Ubora wa Speaker za Lenyes

Ubora wa Speaker za Lenyes

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,746
Reaction score
27,214
Nimekutana na mtu ana Bluetooth speaker inaitwa Lenyes s106,ina mziki mzuri sana ni ndogo lakini ina Bass nzuri, mwenye kuzijua tafadhali, kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua, ubora wake ukoje?


Lenyes.jpg
 
Mim natumia ONYX STUDIO 7 bei ni around laki 7 hadi laki 8 hutojuta asee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom