Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
Wakuu naomba elimu kuhusu hilo, mimi ni mbumbumbu katika haya masuala.
Nilikuwa napitia Aliexpress nkawa naona bei za simu ziko chini mno kulinganisha na gsmarena au uhalisia wa huku madukani, hili limekaaje?
Natanguliza shukrani.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app